Mjadala wa Zanzibar ni nchi au si nchi
25 Julai 2008Matangazo
Suala hilo lilijitokeza bungeni mjini Dodoma mwezi Juni mwaka huu.Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ibara ya tisa inayoeleza mamlaka yote yaliyomo.
Mwandishi wetu kutoka Zanzibar Salma Said anaarifu zaidi.