Upi mustakhbali wa kocha wa Inter Milan Simone Inzaghi (pichani) na kikosi chake baada ya kupoteza fainali ya kombe la mabingwa Ulaya dhidi ya PSG? Sakata la uhamisho wa Florian Wirtz lanoga baada ya Leverkusen kukataa ofa ya pili kutoka kwa Liverpool. Kulikoni? Na gumzo lahanikiza Kenya kuhusu pambano la watani wa jadi Mashemeji Derby.