You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Michezo
Pata habari na uchambuzi wa michezo.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Je, huu ndio mwanzo wa kusambaratika kwa Bayer Leverkusen?
Mabingwa mara moja wa Ujerumani Bayer Leverkusen wamempata kocha mpya baada ya Xabi Alonso kuihama klabu hiyo na kuelekea kujiunga na Real Madrid ya Uhispania. Erik Ten Hag ambaye alikuwa kocha wa zamani wa Manchester United na Ajax Amsterdam, ndiye atakayeifunza Leverkusen sasa. Je, Ten Hag ataendesha vipi meli ya Leverkusen inayoonekana kuyumba na kuondoka kwa Alonso na wachezaji muhimu?
Kwanini vilabu vya Tanzania vinafeli mashindano ya CAF?
Klabu ya Simba Sports Club huko Tanzania imeshindwa kulinyanyua taji la mashindano ya CAF ya kombe la shirikisho baada ya kutoka sare ya bao moja na RS Berkane ya Morocco hapo Jumapili katika fainali iliyochezwa huko Zanzibar na kushindwa kwa jumla ya mabao 3-1 baada ya kupoteza mechi ya mkumbo wa kwanza 2-0 walipokuwa ugenini. Sikiliza uchambuzi wa Josephat Charo, Jacob Safari na Suleman Mwiru.
Bundesliga: Elversberg yajiandaa kupanda daraja
Elversberg inajiandaa kwa Mchuano wa Kupanda Daraja dhidi ya Heidenheim.
FC Köln yarejea ligi kuu ya Bundesliga
Köln yarejea katika ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga kwa kishindo baada ya kuiadhibu Kaiserslautern.
Fainali ya CAF: Uwanja wa marudiano bado kitendawili
Simba yajiandaa kwa mechi ya marudiano Tanzania, Lakini wapi itachezwa?
Alonso aiacha Leverkusen na sifa ya kipekee
Kocha wa Bayer Leverkusen Xabi Alonso amethibitisha, ataondoka Bay Arena mwishoni mwa msimu huu. Anatazamiwa kujiunga na miamba wa Uhispania Real Madrid. Alonso amesema huu ndio wakati sahihi wa kutangaza kuondoka kwake. Alikuwa na kandarasi hadi 2026 lakini klabu hiyo ilisema imekubali matakwa yake ya kusitisha mkataba wake mwishoni mwa msimu.
Wachezaji wa Bayern warejea kutoka likizo fupi ya Ibiza
Raaeifa ya kurejea wachezaji wa Bayern imeripotiwa na televisheni ya Sky siku ya Jumanne (13.05.2025)
Winga wa kulia wa Leverkusen Frimpong kuhamia Liverpool
Frimpong anawacha pengo ambalo Leverkusen itabidi walijaze kabla dirisha kubwa la uhamisho kufungwa.
Bodi ya Bayern yaridhia uwezekano wa kumsajili Tah
Tah aliwahi kuhusishwa kuhamia klabu ya Barcelona katika La Liga.
Kocha Xabi Alonso kuondoka Leverkusen mwisho wa msimu
Leverkusen ilipoteza taji kwa Bayern Munich wikendi iliyopita zikiwa zimesalia mechi mbili msimu kukamilika.
Arteta: Arsenal timu bora zaidi Ligi ya Mabingwa
Arteta asisiza kwamba Arsenal ndio timu bora zaidi katika Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu.
Nagelsmann kutaja kikosi cha ligi ya mataifa ya Ulaya Mei 22
Taarifa hiyo imetangazwa na shirikisho la soka la Ujerumani Jumatano.
Bayern Munich washinda taji la Bundesliga 2024/25!
Bayern yarudisha ubingwa wa Bundesliga nyumbani msimu 2024/25.
APR Mabingwa wa Kombe la Amani Rwanda
Timu ya soka ya APR imetawazwa mabingwa wa kombe la Amani Rwanda (FERWAFA Peace Cup).
Simba SC yaendelea kupambana ligi kuu Tanzania
Simba SC yaendelea kupambana ligi kuu Tanzania, kwa kibarua kigumu ugenini.
Flick ammwagia sifa Lamine Yamal
Barcelona na Inter wamekutana kwenye mkondo wa kwanza wa nusu fainali za Mabingwa Ulaya.
Ancelotti wa Real Madrid kuinoa timu ya taifa ya Brazil
Vyombo vya habari vya Uhispania vimeripoti kuwa Ancelotti atachukua mikoba hiyo mwezi Juni, 2025.
Bochum yatangazwa mshindi mgogoro wa mechi na Union
Ushindi huo huenda usitoshe kuiokoa kutokana na shoka la kushuka daraja.
Mshambuliaji timu ya taifa Gabon Aaron Boupendza amefariki
-
Frankfurt yajiimarisha katika nne bora za Bundesliga
Werder Bremen wakipata ushindi wa 2-1 dakika za lala salama dhidi ya VfB Stuttgart baada ya kutoka nyuma.
Arsenal yatoa fursa kwa timu tano za England
Ligi Kuu ya England imehakikishiwa nafasi ya kuwa na timu tano kwenye toleo la Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu wa 2025-26.
Bielefeld yawaduwaza mabingwa watetezi Bayer Leverkusen
Jonathan Tah aliwatanguliza Bayer Leverkusen lakini Bielefeld wakarudisha kupitia Marius Wörl dakika tatu baadae.
Wasichana wajiandaa na sikukuu ya Eid
Zimesalia siku chache waumini wa dini ya kiislamu kukamilisha ibada muhimu ya funga, inayofuatiwa na shamrashamra za sikukuu ya Eid. Wasichana wamejipanga kusherehekea siku hiyo kwa namna gani?
Mataifa ya Afrika Mashariki yapambana kufuzu Kombe la Dunia
Timu za mataifa ya Afrika Mashariki na Kati zimeendelea na mechi zao za hatua ya makundi.
Salvini: Ninatumai kuiona Urusi michezo ya Olimpiki 2026
Naibu waziri mkuu wa Italia Matteo Salvini amesema angependa kuiona Urusi michezo ya Olimpiki 2026.
Neuer kukosa mechi mbili za Bundesliga
Neuer huenda akakosa pia mechi ya ligi ya mabingwa kati ya Bayern na Inter
Barcelona, Bayern na Inter zasonga mbele Champions
Liverpool imetupwa nje ya michuano ya Champions kupitia mikwaju ya penati.
Ligi ya mabingwa Ulaya Champions kuendelea
Liverpool watakuwa na kazi ngumu ya kulinda ushindi mwembamemba wa 1-0 dhidi ya PSG.
Paul Pogba akamilisha kutumikia kifungo
Pogba hana klabu kwa kuwa mkataba wake na Juventus ulifutwa Novemba 2024.
Wirtz kukosa mechi ya ligi ya mabingwa na Bayern
Kukosekana kwa Wirtz ni pigo kubwa kwa Leverkusen zikiwa zimesalia mechi chache kabla msimu wa Bundesliga kukamilika.
Ujerumani yawasilisha ombi la Euro 2029 kwa wanawake
Ujerumani inaungana na mataifa mengine matano ambayo tayari yalikuwa yametangaza nia hiyo.
Guirassy, matumaini ya Dortmund dhidi ya Lille
Guirassy atakutana na timu yake ya zamani Lille katika hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa.
Freiburg yashindwa kukamata nafasi ya nne kwenye Bundesliga
Freiburg iltoka sare tasa ugenini na Augsburg Jumapili, wakati Kiel ikipata ushindi wa 1 - 0 dhidi ya Union Berlin.
Bayern kukwaana na Celtic ligi ya mabingwa
Celtic wanahitaji ushindi wa angalau 2-0 ili kusonga mbele
Kesi dhidi ya Rubiales yakamilika Uhispania
Rubiales anatuhumiwa kwa unyanyasaji wa kijinsia kwa kumbusu Hermoso mwaka wa 2023.
Leverkusen na Bayern kuumana katika mechi muhimu
Bayern Munich wana nafasi ya kutanua pengo kati yao na mabingwa watetezi Bayer Leverkusen hadi pointi 11 kileleni.
Kocha mpya Kovac apanga kuifufua Dortmund
Kovac ana imani kuwa Dortmund inayotetereka, iko mbioni kurejea katika kiwango kizuri kuliko wengi wanavyofikiri.
Bayern Munich na Rwanda: Kwa nini udhamini unazua utata?
Mkataba wa udhamini kati ya Bayern Munich na Rwanda umeelezwa kuwa "umelowa damu" na unapaswa kukomeshwa.
Talanta iliyolelewa kwenye umaskini Kibera, Nairobi
Talanta iliyolelewa katikati ya umaskini mtaa wa Kibera mjini Nairobi imekuwa mwangaza kwenye kikosi cha timu ya taifa ya kandanda kwa wasichana chini ya umri wa miaka 17 nchini Kenya. Rebecca Odato aliiwakilisha Kenya, Junior Starlets, katika michuano ya Kombe la Dunia 2024 iliyochezwa nchini Jamhuri ya Dominica. Je, umeiwekeza wapi talanta yako?
Hermoso: Busu la Rubiales "sio sahihi"
Kesi dhidi ya rais wa zamani wa shirikisho la soka la Uhispania kuhusu kumbusu mchezaji inaendelea Madrid.
Leverkusen yapania kupunguza mwanya na Bayern
Mechi za duru ya 19 zinaendelea huku mabingwa wa Bavaria Bayern Munich wakiwa wenyeji wa Holstein Kiel na Borussia Dortmund wakicheza ugenini na Heidenheim. Mabingwa watetezi Bayer Leverkusen wana miadi Jumapili na Hoffenheim nyumbani BayArena. Sikiliza mahojiano kati ya Zainab Aziz na Josephat Charo.
Maandalizi ya AFCON yazidi kushika kasi
Maandalizi ya AFCON yanaendelea kushika kasi nchini Moroko.
Amorim: Kikosi cha sasa cha Man United ndicho duni zaidi katika historia ya klabu hii
Kocha wa Manchester United, Ruben Amorim alitaja timu yake kuwa huenda ikawa mbaya zaidi katika historia ya klabu hiyo.
Mfahamu nyota chipukizi katika filamu Tanzania
Najma Juma ni mwigizaji anayechipuka kwa kasi katika tasnia ya filamu. Kwa kipaji cha kipekee na juhudi zisizo na kikomo, amekuwa akivutia macho ya watazamaji na wataalamu wa filamu. Ingawa ni mpya kwenye tasnia, licha ya juhudi zake amekuwa akikumbana na changamoto kubwa ya kukatishwa tamaa katika mitandao ya kijamii lakini kwake anaitumia kama chachu ya kufikia malengo yake.
Mahakama: Vilabu vya Bundesliga kulipia gharama za polisi
Mahakama Kuu ya Ujerumani imetupilia mbali rufaa ya chama cha Bundesliga, DFL juu ya kulipia ulinzi wa mechi.
Bundesliga kulipishwa gharama za usalama wakati wa mechi
DFL kulipia gharama za ziada za ulinzi kwa mechi zinazotajwa kuwa na hatari kubwa ya usalama.
Zawadi miongoni mwa wanamichezo zazua sintofahamu
Zawadi za mashindano ya kuruka kwenye theluji zazua hoja baada ya mshindi wa kufuzu kwa wanawake kupata jeli ya kuoga.
Musiala arudi kikosini baada homa
Munich imetangaza kwamba kiungo Jamal Musiala yuko katika hali nzuri kiafya baada ya kuungua homa.
Bundesliga: Bayern Munich yaendeleza makali yake
Bayern Munich na Bayer Leverkusen waandikisha ushindi muhimu wikendi ya 2025.
06.01.2025 DW Michezo
Vilabu vya Bundesliga vyaanza matayarisho ya mzunguko wa pili wa msimu // Man Utd wapunguza kasi ya mbio za ubingwa England baada ya kuwabana mbavu Liverpool // Na Yanga na Simba zajiweka katika nafasi nzuri ya kutinga robo fainali za mashindano ya vilabu Afrika
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 12
Ukurasa unaofuatia