You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Michezo
Pata habari na uchambuzi wa michezo.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kasper Hjulmand: Kocha mpya Bayer Leverkusen
Wiki iliyopita Leverkusen ilimfuta kazi Ten Hag baada ya mechi mbili za Bundesliga.
Mike Tyson na Floyd Mayweather kukutana ulingoni 2026
Mabingwa wa zamani wa masumbwi duniani, Mike Tyson na Floyd Mayweather, wamethibitisha kuwa watakutana ulingoni.
Musiala alenga kurejea uwanjani tena mwaka 2025
Kiungo mshambuliaji wa Bayern Munich Jamal Musiala amesema Jumatano kuwa ana imani atarudi tena uwanjani mwaka huu kuich
Ten Hag afutwa Leverkusen baada ya mechi 2
Bayer Leverkusen wameamuachisha kazi kocha wao Erik Ten Hag baada ya mechi mbili tu za Ligi Kuu ya Ujerumani, Bundesliga
Amavubi Stars wajiandaa mechi za kufuzu Kombe la Dunia
Shema Ngoga Fabrice, aliyekuwa Rais wa timu ya AS Kigali, amechaguliwa kuwa Rais mpya wa FERWAFA, Shirikisho la Soka la Rwanda kwa kipindi cha miaka minne ijayo. Msikilize Christopher Karenzi kutoka Kigali.
Mkwamo wa soka la Wanawake visiwani Zanzibar
Soka la wanawake Zanzibar linakumbwa na changamoto kadhaa zinazozuia ukuaji wake licha ya vipaji vilivyopo visiwani humo. Hali ya uwekezaji duni imeathiri pakubwa ustawi wa wachezaji, uwepo wa viwanja vichache na ukosefu wa udhamini wa kutosha kwa timu za wanawake. Najjat Omar anaangazia hali ya soka la wanawake Zanzibar.
Morocco na Madagacar kukutana katika fainali za CHAN
Morocco imeitoa Senegal katika CHAN kupitia mikwaju ya penalti.
Bundesliga: Hamburg yatoa sare tasa, Cologne yapata ushindi
Hamburger SV ilitoka sare tasa dhidiy ya Borussia Moenchengladbach huku Cologne ikipata ushindi wa 1 - 0 dhidi ya Mainz
Morocco na nchi zingine 3 zatinga nusu fainali CHAN
Mashabiki wa Afrika Mashariki wamehuzunishwa na kitendo cha mataifa yao wenyeji kushindwa kusonga mbele.
Bayern Munich kuanza mbio za ubingwa dhidi ya Leipzig
Bayern Munich wameshinda taji la ligi mara 12 katika kipindi cha miaka 13 iliyopita
Uganda yafuzu kuingia robo fainali michezo ya CHAN 2024
Kwa mara ya kwanza kabisa timu ya soka ya Uganda imetinga robo fainali ya michuano ya Shirikisho la soka Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani CHAN 2024, baada ya kutoka sare ya 3-3 dhidi ya Afrika Kusini usiku wa kuamkia leo.
CHAN: Tanzania kuvaana na Morocco robo fainali
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Taifa Stars kukipiga dhidi ya Morocco katika michuano ya CHAN 2024
Msimu mpya wa kandanda la Ujerumani kuanza
Msimu wa ligi kuu Ulaya unaanza hii leo hapa Ujerumani kesho kutakuwa na mechi ya ufunguzi wa pazia ya German Cup ambapo Bayern Munich watakuwa wanakwaana na VfB Stuttgart, lakini usiku wa leo huko England na Uhispania, Premier League pamoja na La Liga zitakuwa zinacheza mechi za kwanza.
Mashabiki wadhibitiwa kuhudhuria mechi ya Kenya na Zambia
Mashabiki walivamia uwanja wa Kasarani mjini Nairobi bila tikiti katika mechi za awali zilizoihusisha Kenya.
Leverkusen yamsajili winga mwenye kasi Poku
Klabu inayoshiriki Ligi Kuu ya Ujerumani Bundesliga, Bayer Leverkusen, imemsajili winga Ernest Poku kutoka klabu ya Uhol
CAF yasitisha uuzaji tiketi kwa mechi za Kasarani Kenya
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limesitisha uuzaji tiketi kwa mechi za Kasarani kutokana na ukiukaji wa usalama.
Michuano ya CHAN 2024 inaendelea kurindima
Michuano ya CHAN inaendelea leo huku Taifa Stars ikiwa timu ya kwanza kujikatia tiketi ya robo fainali ya mashindano hayo.
APR kwenye droo na mabingwa wa Afrika Pyramids
APR FC imepangwa kucheza na Pyramids FC kutoka Misri katika hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ya CAF.
Majina ya wanaowania tuzo ya Ballon d'Or 2025 yatangazwa
Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Ousmane Dembele anapigiwa upatu kushinda tuzo hiyo kutokana na mafanikio makubwa.
Hamasa ya fedha inaweza kuimarisha vikosi vya taifa?
Kwa mara ya kwanza katika historia ya soka barani Afrika, michuano ya CHAN—yaani African Nations Championship—inaandaliwa na mataifa matatu: Tanzania, Kenya na Uganda, chini ya kaulimbiu #Pamoja
Schick arefusha mkataba na Leverkusen hadi 2030
Leverkusen iliwapoteza wachezaji wake saba nyota walioondoka na kuhamia vilabu vingine.
Neuhaus arejea kikosi cha kwanza cha Gladbach
Neuhaus aliadhibiwa kwa utovu wa nidhamu mwezi wa Julai 2025
Fursa ya Taifa Stars, Harambee Stars na Uganda Cranes CHAN
Jiunge na Bruce Amani, Josephat Charo na Suleiman Mwiru katika mjadala wetu wa michezo unaojikita katika mashindano ya CHAN 2025.
Hatimaye Michuano ya CHAN kuanza kutimua vumbi Jumamosi
Hii ni mara ya kwanza kwa michuano hiyo kufanyika kwenye ukanda wa Afrika Mashariki tangu mwaka 1976
Luke Shaw aunga mkono msimamo wa Amorim ndani ya Man Utd
Luke Shaw amesema kocha Amorim ameondoa “sumu” Man United na kuleta nidhamu kali, hakuna nafasi kwa wachezaji wazembe.
Mashindano ya majaribio ya riadha yafanyika Kenya
-
DW Michezo: Kenya yajiondoa michuano ya CECAFA
Kenya yajiondoa mashindano ya CECAFA yaliyotarajiwa kuzishirikisha nchi nne huko Karatu Tanzania.
Liverpool kumsajili nyota wa Bundesliga Ekitike
Liverpool wamekubali kumsaini mshambuliaji wa klabu inayoshiriki Ligi Kuu ya Ujerumani Eintracht Frankfurt, Hugo Eikitik
England yatinga nusu fainali michuano ya Ulaya ya wanawake
Ushindi huo unaendeleza mbio za England za kutetea ubingwa wa michuano ya ulaya upande wa wanawake.
Man City yaingia mkataba wa pauni bilioni 100 na Puma
City itaanza kampeni yake ya Ligi ya Premier kwa msimu wa 2025-26, Agosti 16.
Chelsea yashinda Kombe la Dunia la Vilabu
Klabu ya soka ya Uingereza, Chelsea, imeshinda Kombe la Dunia la Vilabu kwa kuichakaza Paris Saint-Germain bao 3-0 .
EURO 2025: Ujerumani kukosa huduma za Gwinn
Gwinn, hatashiriki katika michuano ya Euro 2025 baada ya kuumia goti la kushoto.
Noa Bongo: Mitandao ya kijamii ina hasara zaidi ya faida?
Msimu wa tatu wa Noa Bongo Jenga Maisha yako umewadia. Upo tayari kwa michezo hiyo maarufu ya kuigiza?
Burkardt ahamia Frankfurt kutokea Mainz
Burkardt anawekewa matumini ya kuimarisha safu ya ushambuliaji ya klabu ya Frankfurt.
Utovu wa nidhamu wamponza Neuhaus Gladbach
Inaripotiwa Neuhasu ametozwa faini ya kiasi euro 100,000 kwa uovu huo wa nidhamu.
Jamie Gittens wa Dortmund kujiunga na Chelsea
Gittens anakwenda Chelsea baada ya kuichezea Dortmund mechi 78 za Bundesliga
Nyota wa Liverpool Diogo Jota afariki katika ajali
Ajali hii imetokea siku chache tu baada Diogo Jota aliyekuwa na umri wa miaka 28 kufunga ndoa.
Sane andoka Bayern na kujiunga na Galatasaray
Winga huyo wa Kijerumani mwenye umri wa miaka 29 sasa ni mchezaji wa Galatasaray ya Uturuki kuanzia Jumanne.
Yanga SC yashinda mataji yote ya soka Tanzania
Klabu ya Yanga SC ya Tanzania imefagia mataji yote msimu huu katika ligi za Tanzania
30.06.2025 Michezo
DW Michezo: Yanga wafagia mataji yote msimu huu nchini Tanzania, Gor Mahia yamaliza msimu nchini Kenya bila taji lolote na michuano ya Kombe la Dunia la Vilabu yaendelea Marekani chini ya ukosoaji mkali.
Leicester yaachana na van Nistelrooy
Ruud van Nistelrooy alihudumu kama kocha wa muda Old Trafford baada ya Ten Hag kutimuliwa
Alonso amfagilia Jude Bellingham
Xabi Alonso amechukua mikoba ya kuiongoza Madrid kutoka kwa mtangulizi wake Carlo Ancelotti
Bundesliga kuanza kutimua vumbi Agosti 22
Ligi Kuu ya Bundesliga nchini Ujerumani kuanza kutimua vumbi Agosti 22, 2025
Mabingwa wa Rwanda APR wajipanga kwa mechi za Afrika
APR imeimarisha benchi la kiufundi kwa kumsajili kocha mpya pamoja na wachezaji kadhaa tayari kwa msimu mpya wa kandanda
Wanariadha wa Afrika Mashariki wakabiliwa na unyanyasaji
Katika miaka ya hivi karibuni kumeripotiwa vifo na mauaji ya wanariadha mashuhuri wa kike nchini Kenya.
Jobe Bellingham asajiliwa Borussia Dortmund
Sunderland wakamilisha uhamisho wa Jobe Bellingham kwenda Borussia Dortmund.
Mjadala wa Spoti na Saumu Njama na Josephat Charo
Upi mustakhbali wa kocha wa Inter Milan Simone Inzaghi (pichani) na kikosi chake baada ya kupoteza fainali ya kombe la mabingwa Ulaya dhidi ya PSG? Sakata la uhamisho wa Florian Wirtz lanoga baada ya Leverkusen kukataa ofa ya pili kutoka kwa Liverpool. Kulikoni? Na gumzo lahanikiza Kenya kuhusu pambano la watani wa jadi Mashemeji Derby.
Leverkusen yakataa ofa ya pili ya Liverpool kuhusu Wirtz
Mkataba wa Wirtz hauna kipengele kinachomruhusu aondoke
Kesi ya Diego Maradona hatarini baada ya jaji kujiondoa
Julieta Makintach alijiondoa kwenye kesi hiyo baada ya kufichuliwa kuwa amekuwa akishiriki katika filamu inayotengenezwa
Ni Inter au PSG hapo Jumamosi?
Jumatano Chelsea watapambana na Real Betis katika fainali ya Conference League itakayochezwa huko Poland kisha Jumamosi, PSG wavaane na Intermilan kwenye fainali ya Ligi ya Vilabu Bingwa Ulaya, Champions League itakayochezwa katika uwanja wa Allianz Arena mjini Munich. Je, Chelsea wataiendeleza hatua yao ya kufuzu Ligi ya Mabingwa kwa kuutwaa ubingwa wa Conference League? Usikilize mjadala.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 12
Ukurasa unaofuatia