You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Michezo
Pata habari na uchambuzi wa michezo.
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
08.09.2025
8 Septemba 2025
Kasper Hjulmand: Kocha mpya Bayer Leverkusen
05.09.2025
5 Septemba 2025
Mike Tyson na Floyd Mayweather kukutana ulingoni 2026
27.08.2025
27 Agosti 2025
Morocco na Madagacar kukutana katika fainali za CHAN
Onesha zaidi
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Musiala alenga kurejea uwanjani tena mwaka 2025
Musiala alenga kurejea uwanjani tena mwaka 2025
Kiungo mshambuliaji wa Bayern Munich Jamal Musiala amesema Jumatano kuwa ana imani atarudi tena uwanjani mwaka huu kuich
Ten Hag afutwa Leverkusen baada ya mechi 2
Ten Hag afutwa Leverkusen baada ya mechi 2
Bayer Leverkusen wameamuachisha kazi kocha wao Erik Ten Hag baada ya mechi mbili tu za Ligi Kuu ya Ujerumani, Bundesliga
Amavubi Stars wajiandaa mechi za kufuzu Kombe la Dunia
Amavubi Stars wajiandaa mechi za kufuzu Kombe la Dunia
Shema Ngoga Fabrice, aliyekuwa Rais wa timu ya AS Kigali, amechaguliwa kuwa Rais mpya wa FERWAFA, Shirikisho la Soka la Rwanda kwa kipindi cha miaka minne ijayo. Msikilize Christopher Karenzi kutoka Kigali.
Mkwamo wa soka la Wanawake visiwani Zanzibar
Mkwamo wa soka la Wanawake visiwani Zanzibar
Soka la wanawake Zanzibar linakumbwa na changamoto kadhaa zinazozuia ukuaji wake licha ya vipaji vilivyopo visiwani humo. Hali ya uwekezaji duni imeathiri pakubwa ustawi wa wachezaji, uwepo wa viwanja vichache na ukosefu wa udhamini wa kutosha kwa timu za wanawake. Najjat Omar anaangazia hali ya soka la wanawake Zanzibar.
Bayern Munich kuanza mbio za ubingwa dhidi ya Leipzig
Bayern Munich kuanza mbio za ubingwa dhidi ya Leipzig
Bayern Munich wameshinda taji la ligi mara 12 katika kipindi cha miaka 13 iliyopita
Uganda yafuzu kuingia robo fainali michezo ya CHAN 2024
Uganda yafuzu kuingia robo fainali michezo ya CHAN 2024
Kwa mara ya kwanza kabisa timu ya soka ya Uganda imetinga robo fainali ya michuano ya Shirikisho la soka Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani CHAN 2024, baada ya kutoka sare ya 3-3 dhidi ya Afrika Kusini usiku wa kuamkia leo.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Yenye kuangaziwa
Yenye kuangaziwa
Bayern Munich washinda taji la Bundesliga 2024/25!
Bayern yarudisha ubingwa wa Bundesliga nyumbani msimu 2024/25.
APR Mabingwa wa Kombe la Amani Rwanda
Timu ya soka ya APR imetawazwa mabingwa wa kombe la Amani Rwanda (FERWAFA Peace Cup).
Simba SC yaendelea kupambana ligi kuu Tanzania
Simba SC yaendelea kupambana ligi kuu Tanzania, kwa kibarua kigumu ugenini.
Dortmund yapata majeruhi kabla ya Ligi ya Mabingwa
Dortmund ilipambana na kumbwaga mpinzani wake wa taji la ligi RB Leipzig 2 – 1 licha ya msururu wa majeruhi kikosini.
Michezo ya Olimpiki kwa wenye Ulemavu yafungua pazia Paris
Jumla ya wanariadha 4,400 kutoka mataifa 168 watashiriki michezo hiyo hadi Septemba 8, 2024.
Ufaransa yajiimarisha kiusalama kuelekea Olimpiki
Ufaransa imejikita katika eneo lisilo la kawaida la kijajususi, kuzuia mashambulio yanayohusisshwa na itikadi kali.
Maudhui yote (553) kwenye mada hii