Ujerumani ni nchi pekee ya Magharibi ambapo elimu ya chuo kikuu hutolewa bure. Hilo ni jambo moja linalowafanya wanafunzi wengi kutoka nje kupenda kusoma nchini humo. Katika Sura ya Ujerumani Oumilkheir anakufahamisha zaidi kuhusu utaratibu wa kupata elimu Ujerumani.