Mfumo wa elimu wa Ujerumani
16 Oktoba 2012Matangazo
Elisabeth Shoo anauangazia mfumo wa elimu wa Ujerumani unaosifiwa kuwa miongoni mwa mifumo bora duniani. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Elisabeth Shoo/DW Kiswahili
Mhariri: Josephat Charo