Malkia Elizabeth atakumbukwa kwa mengi watu wa rika mbali mbali. Nchini Tanzania mbunifu wa mavazi Farouk Abdela aliewahi kushona nguo aina ya Khanga iliyonunuliwa na malkia nchini uingereza amekua miongoni mwa Watanzania walioweka historia katika familia ya malkia Elizabeth wa pili..