Mazungumzo ya Serikali ya Uganda na kundi la LRA
7 Mei 2008Matangazo
Watarejea pale Kiongozi wa kundi la Waasi la LRA, Joseph Kony atakapobainisha kuwa atafika katika eneo hilo kwa ajili ya mapatano ya Amani.
Zaidi anayo mwandishi wetu Ismail Kigozi kutoka nchini Uganda.