You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mazingira
Mazingira yanatuzunguka kila mahala, na wanaadamu wanayategemea kuendesha maisha yao.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Raia waondolewa kisiwani Tenerife kufuatia moto wa nyika
Moto huo ulizuka siku ya Jumatano katika hifadhi ya taifa karibu na kilele cha Mlima wa Volkanao wa Teide.
Kijana unachangiaje kuhifadhi mazingira?
Kama kijana unachangiaje katika kuhifadhi mazingira?
Mtu na Mazingira: Mapambano dhidi ya Mabadiliko ya Tabianchi
Makala ya Mtu na Mzingira wiki hii inaangazia juhudi za wanaharakati na ulimwengu kupunguza viwango vya joto duniani.
Tanzania yafanya tamasha la kwanza la muziki wa Jazz
Ni tamasha la Kwanza la muziki wa Afro Jazz Tanzania lililopewa jina Evergreen Afro Jazz ambalo limewakusanya wasanii vijana wanaowika katika muziki huu, dhamira ikiwa kuuhuisha baada ya muziki huu kuonekana kana kwamba unatoweka. Tizama muziki mtamu kabisa wenye mahadhi ya Kiafrika. #kurunzi
Wanasayansi wajadili zaidi juu ya mabadiliko ya hali ya hewa
Mjadala wa wanasayansi unafanyika wakati mwezi Julai umeripotiwa kuongezeka kwa joto zaidi ikilinganishwa na zamani.
Ripoti: Mwezi Julai ulivunja rekodi ya kuwa na joto kali
Ripoti imeeleza kwamba ongezeko la joto la 0.33,liilipindukia kiwango cha mwezi Julai, mwaka 2019 cha wastani wa 0.72.
Ulaya yakumbwa na matokeo mabaya ya hali ya hewa
Vifo 6 vimeripotiwa huku waokoaji wakiendelea kupambana na matukio hayo katika mataifa ya Slovenia, Austria na Croatia.
Uzalishaji wa nishati ya upepo Kenya
Kenya inaendelea kupiga hatua katika uzalishaji wa nishati safi.
Beijing yarekodi mvua kubwa katika kipindi cha miaka 140
Beijing yarekodi mvua kubwa katika kipindi cha miaka 140
Iran yatoa mapumziko ya siku mbili kutokana na joto kali
Joto lalazimisha Iran kuzifunga ofisi muhimu
Papa asema ahofia matukio ya moto nchini Ugiriki
Mioto iliwaka katika visiwa vya Ugiriki kwa zaidi ya wiki na mataifa ya Italia, Croatia, Ureno na Algeria.
Fahamu namna ya kuhifadhi wa Mikoko
Leo hii katika makala ya Mtu na Mazingira utasikia namna wakaazi wa Malindi huko nchini Kenya wanavzohifadhi Mikoko. Je kuna umuhimu gadi wa kuihifadhi na wanatumia mbinu gani hasa? Ungana na Halima Gongo kutokea huko pwania ya Kenya kujua kwa kina.
Guterres ataka hatua za haraka kuinusuru sayari ya dunia
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa hatua za haraka kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Ugiriki yapambana na mioto mikubwa ya msituni
Hali za joto kali ndio imechochea kuibuka kwa moto kwenye baadhi ya maeneo ya Mediterania.
Je, kiongozi mpya wa IPCC atakuwa mwanamke?
Wanachama wa IPCC, watakutana jijini Nairobi kuanzia Julai 25 hadi 28 ili kumchagua mwenyekiti mpya kati ya wagombea 4.
Joto kali lasababisha maafa ya moto kwenye nchi kadhaa Ulaya
Makao makuu ya zima moto mjini Athens imesema hatari ya moto ni kubwa karibu katika kila mkoa nchini Ugiriki.
Waziri mkuu wa Ugiriki aunda kikosi maalum kukabili moto
Waziri Mkuu wa Ugiriki Kyriakos Mitsotakis, ametetea hatua za kikosi cha kukabili moto wa nyika unaowaka kwa wiki moja.
Kenya yatangaza mpango wa kuanza kuwafidia wafugaji
Serikali ya Kenya imetangaza mpango wa kuanza kuwadifia wafugaji waliopoteza mifugo yao wakati wa ukame.
Tathmini ya serikali ya Ujerumani juu ya kazi yake
Tathmini ya serikali ya Ujerumani juu ya kazi yake katika muktadha wa malumbano ndani ya serikali hiyo
UN: Dunia inapaswa kujiandaa kwa joto linaloongezeka
Umoja wa Mataifa unasema dunia inapaswa kujiandaa kwa mawimbi yanayoongezeka ya joto
Ulaya na mataifa mengine yakabiliwa na wimbi la joto kali
Shirika la WMO limesema ulimwengu unapaswa kujiandaa kwa mawimbi yanayoongezeka ya joto kali.
Mkutano wa G20 kumalizika India bila tamko la pamoja
Tofauti zilizopo kati ya mataifa tajiri na maskini zinahatarisha kuzidisha umaskini ulimwenguni.
Kerry kuhimiza kupambana na Mabadiliko ya Tabianchi China
Mjumbe Maalum wa Marekani wa Mabadiliko ya Tabianchi anaitembelea China kuhimiza kupambana na Mabadiliko ya Tabianchi
John Kerry afanya mazungumzo na mwenzake wa China
Diplomasia kati ya mataifa hayo makubwa mawili kwa hivi karibuni imekuwa ikizorota.
Idadi ya waliofariki kwa mvua Korea Kusini yafikia watu 40
Makaazi ya watu na magari yameonekana kufunikwa na maji katika miji uliokumbwa na dhuruba mbaya zaidi.
Wanaharakati waandamana viwanja vya ndege Ujerumani
Kundi la "Letzte Generation" liliandamana kwenye viwanja vya ndege vya Dusseldorf na Hamburg mapema siku ya Alhamis.
Yellen airai China kupambana na mabadiliko ya tabianchi
Waziri wa Fedha wa Marekani amerai China kushiriki mapambano ya kukabiliana na janga la Mabadiliko ya Tabianchi.
Soko la kimataifa la samaki Feri na nishati mbadala
Soko la kimataifa la samaki Dar es salaam limekuwa mfano wa kuigwa kwa kutumia nishati ya gesi, hatua inayotajwa na wataalamu wa mazingira kuwa inazingazia utunzani wa mazingira. Hata hivyo kuna changamoto chini ya mpango huo.
Ruto atangaza kuondoa marufuku ya biashara ya magogo
amesema ili kufidia ukataji wa magogo, serikali yake inalenga kupanda miti bilioni 15 katika muda miaka 10 inayokuja.
UN yatoa tahadhari juu ya athari za Mabadiliko ya Tabianchi
Turk amearifu kuwa mwaka 2021 pekee, zaidi ya watu milioni 828 duniani walikabiliwa na baa la njaa
Rais wa Kenya aondoa marufuku ya ukataji miti kwenye misitu
Wanamazingira wanahofia hatua hii ya Ruto itakwenda kinyume na mpango wake wa upandaji miti bilioni 15 kufikia 2032.
Sheria mpya dhidi ya migomo yaanza kutumika Uingereza
Sheria mpya inayowapa polisi mamlaka zaidi katika hatua dhidi ya migomo yaana kutumika leo Uingereza
Miito yatolewa juu ya mageuzi ya mfumo wa fedha wa kimataifa
Benki ya Dunia yazindua mpango wa kusitisha kwa muda malipo ya madeni kwa nchi zilizokumbwa na maafa.
Macron ahimiza mageuzi katika taasisi za fedha za kimataifa
Mkutano wa Paris unafanyika wakati dunia inakabiliwa na mabadiliko ya hali ya hewa na changamoto nyingine za maendeleo.
Mkutano wa kilele wa Paris kujadili ufadhili wa kimataifa
Mkutano huo unafanyika wakati msururu wa migogoro ukizikumba nchi zilizolemewa na madeni duniani
Mtu na Mazingira : Tunawezaje kudhibiti taka za plastiki?
Makala ya Mtu na Mazingira inaangazia juhudi za kimataifa za kuunusuru ulimwengu na uchafuzi wa takataka za plastiki.
Ujerumani yatangaza mabadiliko ya sheria ya mazingira
Kuanzia mwaka 1990 Ujerumani ilikuwa inapaswa kupunguza hewa ya ukaa kutoka kiwango hicho cha asalimia 65 ifikapo 2030.
Wataalamu wa hali ya hewa watahadharisha juu ya El Nino
Pembe ya Afrika inatarajiwa kupokea mvua kubwa na kuongeza matumaini ya angalau kupunguza makali ya ukame.
Afrika yaathirika zaidi na mabadiliko ya tabia nchi
Takriban wajumbe 200 kutoka nchi zilizotia saini Mkataba wa Paris wa 2015 juu ya mabadiliko ya hali ya hewa wanaendelea na mkutano wa kuandaa maamuzi yatakayopitishwa katika mkutano wa kilele wa mazingira COP28. Mjumbe kutoka Kenya Charles Mwangi- Mratibu wa miradi katika shirika lisilo la kiserikali la kutetea haki za binaadamu katika suala la mabadiliko ya tabia nchi, PACJA, anazungumzia zaidi.
Ongezeko la joto duniani lilipindukia muongo uliopita.
Malengo ya mktaba wa hali ya hewa wa Paris ni kubakisha ongezeko la joto katika kiwango cha asilimia 1.5.
Jinsi mifuko ya plastiki yanavyoathiri mazingira
Siku ya Mazingira Duniani inaangazia uchafuzi wa plastiki na mustakabali wa uchumi wa mzunguko. Plastiki inachangia asilimia thamanini (80%) ya uchafuzi wa baharini, kwani ni asilimia kumi tu ya plastiki ambayo hurejeshwa kila mwaka. Lakini kuna matumaini! Nchi 145 ziko njiani kusaini mkataba wa kimataifa wa plastiki kwa lengo la kupunguza uzalishaji wa plastiki. #Kurunzi
Tujifunze Mashariki ya Kati kukabili halijoto ulimwenguni
Ujenzi wa makaazi,utolewaji wa elimu kwa umma na marekebisho ya miundombinu ni miongoni mwa yakujifunza
Uganda yaadhimisha siku ya mazingira Duniani
Siku ya Mazingira mwaka huu ni kupambana dhidi ya uchafuzi unaotokana na matumizi ya plasitiki.
Maandalizi ya COP28 yaanza Bonn
Kuna wasiwasi wa kuchaguliwa kwa nchi hiyo inayotegemea mafuta kuandaa mkutano unaoangazia ubaya wa nishati hiyo.
Je 'GMO' ndio mfumo bora endelevu wa uzalishaji chakula?
Je Vyakula vilivyozalishwa kwa kubadilishiwa vinasaba ndio mfumo bora endelevu wa uzalishaji chakula?
Umoja wa Mataifa wajadili uchafuzi wa takataka za plastiki
Kamati ya Umoja wa Mataifa inakutana hii leo huko Paris ili kushughulikia uchafuzi utokanao na plastiki ulimwenguni.
Bayoanuai: Utunzaji wa viumbe hai
Utunzaji wa viumbe hai huleta matumaini ya maisha ya viumbe vyote juu ya uso wa dunia. Hata ndege hutegemea maisha ya wanayama au wadudu wengine. Dawa za kuulia wadudu mashambani zinahatarisha uhai wa viumbe vyengine na hatua mbadala zinahitajika kuokoa maisha ya ndege hao. #Kurunzi
Mkutano kuhusu uchumi wa Buluu wafanyika visiwani Zanzibar
Mkutano huu ni sehemu ya maazimio yaliyoagiza nchi wanachama wa IORA kuwekeza zaidi katika Bahari
Umoja wa Mataifa watahadharisha juu ya ongezeko la joto
WMO imetahadhirisha juu ya uwezekano wa kuongezeka joto kali katika miaka mitano ijayo.
Mpango wa UN kupunguza taka za plastiki kwa 80% ifikapo 2040
Ulimwengu ni lazima upunguze nusu ya plastiki zinazotumika mara moja ili kuepuka athari za uchafuzi huo kwa mazingira.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 22
Ukurasa unaofuatia