You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mazingira
Mazingira yanatuzunguka kila mahala, na wanaadamu wanayategemea kuendesha maisha yao.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mabadiliko ya tabianchi yawahamisha Watoto milioni 43.1
Vimbunga vinakadiriwa kuwa vitawahamisha watoto milioni 10.3.
Steinmeier aahidi kuisaidia Cape Verde
Steinmeier yuko kwenye ziara ya kiserikali ya siku mbili nchini Cape Verde.
Papa Francis awataka makadinali kuweka kando siasa
Baba Mtakatifu Francis amesema siyo jukumu la kanisa kuweka vizuizi kwa kuzingatia mitizamo ya kisiasa.
Makampuni zaidi ya 20 yakubali kupunguza utoaji hewa ukaa
Makampuni ya nishati yahimizwa kuwa sehemu ya suluhu kuliko kuwa chanzo cha tatizo la ongezeko la joto duniani
Mabadiliko ya Tabianchi yanavyotishia maisha ya Wahadzabe
Makala ya Mtu na Mazingira wiki hii inamulika jinsi jamii ya Wahadzabe ilivyoathirika na mabadiliko ya Tabia nchi.
Marekani yavitambua visiwa viwili vya Pasifiki
Visiwa hivyo vinakaliwa na watu karibu 20,000 lakini vinaunda eneo kubwa la kiuchumi kusini mwa bahari ya Pasifiki.
Viongozi wahutubia Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewatolea wito viongozi kuchukua hatua za pamoja kwa maslahi ya walimwengu.
Viongozi wahimiza kumalizwa mizozo na uchafuzi wa mazingira
Miito ya kumaliza mizozo na uchafuzi wa mazingira yatawala siku ya kwanza ya mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Ukosefu wa maji walazimisha Tembo kuihama Zimbabwe
Makundi makubwa ya Tembo wanaihama hifadhi kubwa ya wanyama pori nchini Zimbabwe na kuingia taifa jirani la Botswana.
Mkutano wa Baraza Kuu la UN wafunguliwa New York
Mkutano wa kila mwaka wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa umefunguliwa rasmi hii leo jijini New York.
Kenya kuwapa fidia waathirika wa mabadiliko ya tabianchi
Serikali ya Kenya itaanza mchakato wa kuwafidia wahanga wa mabadiliko ya tabianchi kwa awamu kuanzia Oktoba mwaka huu.
Mabadiliko ya tabianchi yanatishia vita dhidi ya Ukimwi
Mizozo na mabadiliko ya tabianchi yanatishia mapambano dhidi ya Ukimwi, Malaria na Kifua Kikuu.
Lengo la kutokomeza Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria hatarini
Ripoti mpya iliyochapishwa inaonesha lengo la kutokemeza Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria limo hatarini.
Maelfu waandamana kudai kusitishwa matumizi ya Petroli
Maelfu ya watu wamekusanyika mjini New York, kutoa mwito kwa kuongezwa juhudi za kupambana na mabadiliko ya tabia nchi.
17.09.2023: Matangazo ya Jioni
Hapa utasikia matangazo ya jioni kauanzia taarifa ya habari za ulimwengu hadi makala nzuri kabisa kama ya Maoni Mbele ya Meza ya Duara iliyoangazia mwaka mmoja wa rais wa Kenya William Ruto madarakani.
UN: Idadi ya vifo vya mafuriko nchini Libya yafikia 11,300
Libya imekabiliwa na hali ngumu kutokana na mafuriko makubwa yaliyosababisha idadi kubwa ya vifo vya raia.
Urusi yapeleka madakati wa dharura Libya
Libya imeendela kuhitaji misaada ili kuwanusuru wahanga wa mafuriko hayo yaliyoleta madhara makubwa.
Wanaharakati wa mazingira kuendeleza maandamano leo
Maandamano hayo yanalenga kuzishinikiza serikali duniani kuondokana na matumizi ya nishati ya kisukuku.
Wanaharakati wa hali ya hewa waanza maandamano makubwa
Maelfu ya wanaharakati wa mazingira, wameanza maandamano leo, wakitoa wito wa kukomesha matumizi ya mafuta ya visukuku.
Maelfu ya wanaharakati wa mazingira kuandamana kwa siku 3
Wiki iliyopita Umoja wa Mataifa ulionya mataifa bado yako nyuma kufikia lengo la kupunguza ongezeko la joto duniani.
Wanaharakati wa mazingira kuandamana nchi zaidi ya 50
Maandamano hayo yanalenga kuzishinikiza serikali za mataifa mbalimbali zisitishe uchomaji wa nishati ya visukuku.
WFP: Watu milioni 24 duniani wataingia kwenye baa la njaa
Shirika la mpango wa chakula duniani limetoa wito wa kuchukuliwa kwa hatua za haraka kunusuru watu zaidi ya milioni 20.
Colombia yaongoza kwa mauaji ya wanaharakati wa mazingira
Idadi ya waliouawa imepungua kidogo ukilinganisha na rekodi ya watu 227 waliouawa mwaka 2020
Rwanda kujenga kinu cha nyuklia kuzalisha umeme
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Rwanda anasema mradi huo unayaweka maisha ya raia wa Rwanda hatarini.
Uchafuzi wa hewa bado ni tatizo kubwa barani Ulaya
Ingawa EU ina baadhi ya sheria kali zaidi za ubora wa hewa duniani, viwango vya uchafuzi wa hewa bado viko juu.
UN: Ulimwengu unarudi nyuma kutimiza malengo ya mazingira
Umoja wa Mataifa umesema kuwa ulimwengu uko nje ya lengo lililokusudiwa la kupunguza ongezeko la joto duniani.
Afrika yazungumza kwa sauti moja kuhusu tabia nchi
Miongoni mwa yalimulikwa katika Afrika wiki hii ni mkutano wa kihistoria wa bara la Afrika kuhusu tabia nchi uliofanyika Kenya. Na mkutano wa jukwaa la chakula barani Afrika uliofanyika Dare-Salaam Tanzania ambapo viongozi wa Afrika wasema wako tayari kuulisha ulimwengu. Nchini Gabon,Jenerali Nguema aapishwa kuwa rais wa mpito. Jiunge na Saumu Mwasimba kwa hayo na mengine.
Dunia inakabiliwa na mgogoro wa mabadiliko ya tabianchi
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres hii leo ametahadharisha kuwa, dunia inakabiliwa na mgogoro wa mabadili
Hong Kong yakumbwa na mafuriko makubwa
Watu wawili wameripotiwa kufariki dunia kufuatia mafuriko hayo. Hali ambayo imelazimisha shule kufungwa mjini humo.
UN: Mabadiliko ya tabianchi yasababisha joto kali
Moshi wa mioto ya nyika huenda ukawa ishara inayoonekana zaidi ya uchafuzi wa hewa
Mkutano wa mazingira wa Nairobi umekuwa na mafanikio yapi?
Sikiliza uchambuzi wa Hussei Khalid ambaye ni mwanaharakati wa Mazingira na Mkurugenzi wa Shirika la Haki Afrika lenye makao yake nchini Kenya.
Viongozi wa Afrika wahimiza matumizi ya nishati jadidifu
Wito huo umetolewa katika siku ya mwisho ya mkutano wa kihistoria wa mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika Kenya.
Azimio la Nairobi la hali ya hewa kutiwa saini
Viongozi hao walikusanyika jijini Nairobi kuweka vipaumbele kwa mkutano wa kimataifa wa COP28 huko Dubai
Ruto alia na mabadiliko ya tabianchi, ataka kodi ya kaboni
Ruto anasema Afrika inapoteza asilimia 5-15 ya pato lake jumla la ndani kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Guterres aipigia chapuo nishati jadidifu Afrika
Mkutano wa kwanza wa kile wa Afrika kuhusu tabianchi unafanyika Nairobi, Kenya kuanzia Jumatatu hadi Jumatano.
Guterres: Dunia iisaidie Afrika kuwa na nishati jadidifu
Guterres ameyasema hayo kupitia hotuba aliyoitoa katika mkutano wa bara la Afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi.
Mamilioni ya dola kutolewa ili kukabiliana na hewa ukaa
Ahadi za mamilioni ya dola kukabiliana na uzalishaji hewa ukaa zatolewa katika mkutano wa mazingira Nairobi Kenya.
Pembe ya Afrika yakumbwa na ukame mbaya zaidi
Afrika inachangia takriban asilimia nne tu ya hewa chafu duniani lakini inabeba mzigo mkubwa wa athari za mabadiliko ya hali ya hewa. Mamilioni ya watu wanakufa njaa kutokana na ukame unaoendelea katika Pembe ya Afrika.
Viongozi wa Afrika wakutana kujadili mazingira Nairobi
Mkutano wa kilele wa kihistoria wa mazingira wa viongozi wa kisiasa kutoka barani Afrika umefunguliwa leo mjini Nairobi.
Taka za Plastiki zinalipa zinavyolipa ada za shule
Tazama mpango wa taka za plastiki huko Lagos Nigeria, unavyotumiwa kulipa ada za watoto shule, huku wakitunza mazingira.
Viongozi wa Afrika wakutana kujadili masuala ya mazingira
Viongozi wa kisiasa wa bara la Afrika wakutana katika mkutano wa kihistoria wa mazingira jijini Nairobi Kenya.
Papa aionya Mongolia kuhusu rushwa na uharibifu wa mazingira
Papa Francis amesifu busara za watu wa Mongolia kwa kudumisha amani na ustahimilivu wa kidini.
Umoja wa Ulaya kushinikiza kukomesha nishati za visukuku.
Nishati hizo za visukuku ni pamoja na gesi asilia na bidhaa nyingine za petroli.
Japan yashuhudia viwango vya juu vya joto
Joto kali zaidi kwa mwaka huu limevunja rekodi katika kipindi cha miaka 125 iliyopita.
IMF: Mabadiliko ya tabia nchi huenda yakaongeza vifo
Shirika la Fedha Duniani limesema mabadiliko ya tabia nchi yanazidisha mizozo katika mataifa yaliyo na hali tete duniani
Kimbunga Idalia chatarajiwa kuikumba Florida nchini Marekani
Watabiri wa hewa Marekani wanatarajia dhoruba kali itageuka kuwa kimbunga kikubwa kitakacholikumba jimbo la Florida
TOKYO: Maji ya bahari karibu na kinu cha Fukushima ni salama
Japan ilikosolewa kwa kutirirsha maji kutoka kwenye kinu cha Fukushima kilichoharibiwa na Tsunami mnamo mwaka 2011.
Neema Lugangila Mbunge Kinara
Katika kipindi cha “Karibuni“ msikilize mwakilisha wa hamasa ya matumizi bora ya Tanzania, Mbunge Neema Lugangila alitembelea DW Bonn na kufanya mazungumzo na Sudi Mnette.
Nchi 185 zazindua mfuko wa ufadhili wa kulinda asili
Canada iliyokuwa mwenyeji wa mkutano huo imeahidi kutoa dola milioni 147 na Uingereza dola milioni 12 za Kimarekani.
Wadau wajadili kilimo cha kulinda mazingira mjini Kampala
Mkutano huo umeandaliwa na Mtandao wa Fair Trade ulio na mataifa 29 wanachama kanda ya Afrika na Mashariki ya kati.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 22
Ukurasa unaofuatia