You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mazingira
Mazingira yanatuzunguka kila mahala, na wanaadamu wanayategemea kuendesha maisha yao.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Marekani yaahidi dola bilioni tatu kwa mfuko wa mazingira
Marekani itachangia dola bilioni 3 kwa mfuko wa mabadiliko ya tabia nchi duniani, ikiwa ahadi yake ya kwanza tangu 2014.
Theluji yaukumba mji wa kusini mwa Ujerumani wa Munich
Usafiri wa ndege mjini Munich huko kusini mwa Ujerumani unatarajiwa kusitishwa hadi taarifa nyininge itakapotolewa.
Viongozi wa Afrika wataka mataifa yaliondelea yawajibike
Marais wa Afrika wapigia chapuo maliasili zao wenyewe ambazo zinasaidia katika kupungua hewa ya kaboni inayoongeza joto.
Kuna haja gani kuandaa mikutano ya COP kila mwaka?
Ni kwa nini UN huandaa mikutano 28 ya COP kuhusu tabia nchi, mwaka huu ukiwa mara ya 28? Mikutano hiyo ina tija gani?
Mfalme Charles ahimiza ukarabati wa haraka wa mazingira
Mfalme Charles III wa Uingereza amesema dunia iko mbali sana katika kushughulikia mabadiliko ya tabianchi.
COP28 yazindua mfuko wa hasara na uharibifu wa tabianchi
Mkutano wa UN wa COP28 umezindua mfuko wa fidia kwa mataifa yanayokumbwa na hasara ya mabadiliko ya tabianchi.
Mkutano wa COP28 wafunguliwa huko Dubai
Guterres ameonya juu ya kushuhudiwa maafa kamili kwenye mwelekeo wa sasa wa wanadamu ikiwa hatua hazitochukuliwa haraka.
Rais wa COP28 akanusha UAE haitafuti mikataba ya mafuta
Rais wa mkutano wa mazingira wa COP28 akanusha ripoti kuwa UAE inataka kutafuta mikataba ya mafuta.
Vijana wa Afrika wataka hatua zaidi kulinda mazingira
Afrika iko hatarini zaidi kukumbwa na athari za mabadiliko ya tabianchi. Vijana wanataka hatua za haraka za ufadhili.
UN: Tuongeze juhudi kukabili mabadiliko ya tabia nchi
Wito huo unajiri kabla ya kuanza kwa mkutano wa kilele wa hali ya hewa utakaofanyika huko Dubai.
Guterrs: Tuongezeni juhudi kukabili mabadiliko ya tabia nchi
Guterres atoa wito kwa COP28 "kuvunja mzunguko hatari" wa ongezeko la joto duniani.
Watu 10 wamekufa baada ya kimbunga kupiga Ukraine
Watu 10 wamekufa na wengine 23 wamejeruhiwa kutokana na kimbunga na kuanguka kwa theluji nchini Ukraine.
Rais Joe Biden hatohudhuria mkutano wa COP28 Dubai
Rais wa Marekani Joe Biden hatohudhuria mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira utakaofanyika Dubai
Uchafuzi wa hewa uliuwa mamia ya maelfu ya watu katika EU
Watu 250,000 walikufa katika mwaka wa 2021 kutokana tu na uchafuzi uliosababishwa na chembe chembe laini.
Idadi ya vifo kutokakana na mafuriko Somalia yakaribia 100
Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko yaliyoikumba Somalia inakaribia 100.
Fursa ya pesa ya hewa ukaa kwa walio vijijini
Je, unafahamu kuwa unaweza kutajirika kwa namna rahisi sana katika maeneo uliyopo kwa kutumia miti pori. Fursa hii hasa ni kwa wale walio nje ya miji kubwa. Zaidi tazama vidio hii ya mwandishi Yakub Talib.
Mataifa ya Afrika na vita dhidi ya taka za plastiki
Baadhi ya mataifa ya Afrika yameibuka kinara duniani katika kupambana na taka za plastiki.
Zelenskiy: Baridi inafanya mapigano kuwa magumu kwa Ukraine
Zelenskiy asema baridi inafanya mazingira ya mapigano kuwa magumu kwa majeshi yake
Kenya: Mafuriko yasababisha hali mbaya ya kiutu Dadaab
Mashirika yaonya juu ya hali mbaya ya kiutu ikiwemo mripuko wa magonjwa baada ya mafuriko kuikumba kambi ya Daadab.
UN: Wakimbizi wa Kipalestina wanaishi katika mazingira duni
OCHA imesema wakimbizi hao wamekuwa wakilala nje na kuishi katika mazingira duni ambapo watu 150 hutumia choo kimoja.
Wanamazingira wataka mradi wa gesi Msumbiji kusitishwa
Wanamazingira duniani wameandika barua kwa wafadhili wa mradi wa gesi asilia Msumbiji wakitaka kusitishwa ufadhili.
Mkutano wa Biden na Xi, Je! Ujerumani iko mahala gani?
Mwanazuoni Hanns Maull amesema hakuna uhakika iwapo mazungumzo hayo yataleta ufumbuzi.
Baerbock aonya kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi
Baerbock asema athari za mabadiliko ya tabianchi zinaathiri kila mtu
WFP: Somalia itakabiliwa na njaa kali kufuatia mafuriko
WFP imesema robo tatu ya watu Somalia, wapo hatarini kukabiliwa na njaa kali mwaka huu kutokana na ukame na mafuriko
Un yasema ulimwengu "unakwenda mrama" upunguzaji gesi ukaa
UN imetahadharisha kuwa ulimwengu inakwenda mrama kwenye lengo la kuzuwia kupanda kwa kiwango cha joto la dunia.
Umoja wa Mataifa waonya ongezeko la joto duniani
Umoja wa Mataifa waonya óngezeko la joto duniani
APEC kuzingatia zaidi masuala ya mazingira na usawa
Viongozi wa mataifa ya jumuiya ya uchumi ya Asia na Pasifiki wanataka kuboresha ushirikiano katika mazingira na usawa.
Uchimbaji wa madini ya Kinywe, rafiki kwa mazingira
Makala ya Mtu na Mazingira inaangazia uchafuzi wa mazingira unaotokana na vyombo vya usafiri na hatua ya Tanzania, kuanza kuchimba madini ya kinywe unavyoweza kuchochea uwepo wa magari ya umeme, yanayotajwa kuwa rafiki wa mazingira.
Greta Thunberg ajiunga na maandamano ya tabianchi Uholanzi
Mwanaharakati wa kutetea mazingira Greta Thunberg amejiunga na maelfu ya waandamanaji mjini Amsterdam nchini Uholanzi.
EU yaridhia kuhusu sheria ya kurekebisha mazingira asilia
Asilimia 80 ya makaazi asili ya viumbe hai katika umoja huo, yapo kwenye hali mbaya.
FAO: Zaidi ya watu milioni 23 walikabiliwa na njaa, 2022
FAO limesema mmoja kati ya watu watano kwenye ukanda huo hapati mlo kamili na kuibua kitisho cha aina zote za utapiamlo.
Athari za mvua katika jiji la Dar es salaam
Hali ya mvuka katika maeneo ya Afrika Mashariki imeleta madhara ikiwemo maji kuvamia makaazi ya watu na kuleta madhara.
Kenya yatangaza sikukuu ya kupanda miti
Serikali ya Kenya imewashangaza wengi kwa kutangaza sikukuu ya umma ifikapo Novemba 13 kama siku maalum ya upandaji miti
Mtu na Mzingira: Uchimbaji wa madini ya Kinywe rafiki kwa mazingira
Makala ya Mtu na Mazingira leo hii inaangazia uchimbwaji wa madini ya Kinywe au Graphite nchini Tanzania na namna unavyosaidia kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kutokana na malighafi ya madini hayo kutengeneza betri za magari ya umeme ambayo ni rafiki wa mazingira. Msikilize Anuary Mkama.
Mafuriko yaua watu 14 Kenya, familia elfu 15 zaathirika
Mvua zinazoendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo kusini mwa Afrika zimesababisha madhara ikiwemo vifo nchini Kenya.
Mkutano wa mabadiliko ya tabianchi wamalizika Abu Dhabi
Mkutano huo ulijadili kuhusu hazina ya hasara na uharibifu unaohusiana na mabadiliko ya hali ya hewa.
UN: Mabadiliko ya tabia nchi ni kitisho cha afya
Kati ya mwaka 2000 na 2019 vifo vilivyosababishwa na joto vinakadiriwa vilikuwa 489,000 kwa mwaka.
Dr. Bahati, msanii mhamasishaji Tanzania
Dr. Bahati ambaye majina kamili ni Anne Christina Achterberg-Bonness, ni mwanaharakati wa masuala ya afya na mazingira anayeendesha kampeni za kuhamasisha jamii kupitia matamasha ya muziki sehemu mbali mbali Tanzania. Ahmad Juma alikutana naye na kuandaa ripoti ifuatayo.
Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 01.11.2023
Mzozo wa Israel na Hamas huko Gaza, Watu 17 wauawa Nigeria kufuatia shambulio la kigaidi na Rais Macron aanza ziara ya kimkakati eneo la Asia ya Kati.
Wataalam: Watetezi wa nishati ya visukuku wasishiriki COP28
Mwaka jana, mamia ya watetezi wa nishati za mafuta, gesi na maka ya mawe walikilishwa katika mkutano wa COP27 Misri.
Majiko Banifu kukabiliana na uchafuzi wa mazingira
Licha ya kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi chache ambazo sehemu kubwa ya ardhi yake imezungukwa na miti, iko katika hatari ya kutoweka, ikiwa suluhu za nishati safi na endelevu hazitapewa kipaumbele ili kuwasaidia wananchi hasa wa vijijini kuachana na matumizi ya mkaa na kuni. Tunaangazia hilo kwa undani kwenye makala ya 'Mtu na Mazingira'. Msimulizi ni Salma Mkalibala.
Kutambua mzozo wa hali ya hewa kama dharura ya kiafya
Wataalamu kutoka kote ulimwenguni wataka hatua za kutambua mzozo wa hali ya hewa kama dharura ya kiafya.
Dunia imeshindwa kufikia lengo la kusitisha ukataji miti
Ukataji miti duniani uliongezeka kwa asilimia 4 mwaka jana, na ulimwengu bado unajikongoja ili kufikia malengo hayo.
Greta Thunberg akamatwa, ashitakiwa London
Greta Tameshitakiwa kwa kosa la kuvuruga utaratibu wa umma baada ya kukamatwa kwenye maandamano jijini London.
Guterres: Watu milioni 780 wanakabiliwa na njaa duniani
Katika kuadhimisha siku ya chakula duniani leo, Umoja wa Mataifa umesema kila sekunde chache mtu mmoja anakufa njaa.
IGAD na jukumu la vijana katika utunzaji wa mazingira
Wakio Mbogho anazungumza na vijana wa nchi wanachama wa Jumuiya ya IGAD kwenye ulinzi na utunzaji mazingira.
Matangazo ya Asubuhi, Oktoba 16, 2023
UNICEF: Mamilioni ya watoto wapoteza makazi
Watoto hao walipoteza makazi kati ya mwaka 2016 hadi 2021
Mtu na Mazingira: Ijue biashara ya hewa ya Ukaa na faida kwenye misitu ya asili
Serikali ya Tanzania kupitia Wakala wa Misitu, kwa kushirikiana na taasisi binafsi na makampuni mbalimbali amenza biashara ya kununua hewa ya ukaa itakayowanufaisha wakulima wa misitu ya asili. Je unajua kuhusiana na biashara kama hii ya hewa ya ukaa? Na je inawanufaishaje wakulima hawa. Sikiliza makala ya Mtu na Mazingira kujua zaidi kuhusu hili.
Ufadhili wa mabadiliko ya tabianchi wazidi kupungua
Mkutano wa kilele wa kimataifa wa hali ya hewa wa COP28 unatarajiwa kufanyika Dubai, mwishoni mwa mwezi Disemba.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 22
Ukurasa unaofuatia