You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mazingira
Mazingira yanatuzunguka kila mahala, na wanaadamu wanayategemea kuendesha maisha yao.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wapigania hifadhi ya hali ya hewa watunukiwa zawadi ya amani ya Nobel
Jukwaa juu ya hali ya hewa Potsdam
Jukwaa juu ya badiliko la hali ya hewa likiwajumuisha washindi wa zawadi ya Nobel 15 umefunguliwa Berlin.
Mkutano wa mazingira wa rais Bush ni kiini macho
Baada ya miaka kadha ya kukanusha , mkutano uliodhaminiwa na Ikulu ya Marekani kuhusiana na mabadiliko ya hali ya hewa, umemalizika siku ya Ijumaa huku rais George W. Bush akikiri kuwa ongezeko la ujoto duniani ni suala ambalo halikaniki na binadamu wanahusika na amewataka viongozi wa mataifa kuungana nae mwaka ujao katika mkutano mwingine.
Washington. Marekani yakataa kuweka ulazima wa kila nchi kuweka viwango vya kupunguza gesi zinazochafua mazingira.
WASHINGTON : Marekani imejifunga na mabadliko ya hali ya hewa
Bush aita mkutano juu ya hali ya hewa
Masuala ya ulinzi wa mazingira na mabadiliko ya hali ya hewa yanapewa kipaumbele wiki hii huko Marekani. Mwanzoni mwa juma, viongozi 80 kutoka ulimwenguni kote wamekutana kwenye Umoja wa Mataifa jijini New York kuzungumzia masuala haya. Na leo waziri wa nje wa Marekani, Condoleezza Rice, alifungua mkutano unaohudhuriwa na wajumbe wa nchi 16 watoaji wakubwa kabisa wa gesi chafu.
NEW YORK:UN yataka kufikiwa kwa maamuzi jinsi kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa
Ujerumasni yasifu makubaliano ya Montreal kuhusu hali ya hewa
FRANKFURT:Kansela Merkel asisitiza kutunza mazingira
FRANKFURT: Magari mapya kupunguza uchafuzi wa mazingira
SYDNEY : APEC kusaini mkataba wa mabadiliko ya hali ya hewa
VIENNA : Mkutano wa hali ya hewa wamalizika
BERLIN : Hatua dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa zapita
BERLIN: Merkel atetea ajenda ya kuhifadhi mazingira
COPENHAGEN: Juhudi za kulinda mazingira ziimarishwe
Maoni yetu juu ya tumbuizo la muziki,kuhamasisha ulinzi wa mazingira
Wanamuziki mashahuri duniani kote walipanda majukwaani na kutumbuiza kwa lengo la kuwahamasisha watu juu ya ulazima wa kupambana na ongezeko la joto duniani.
NEW YORK : Nyota wa muziki wapigia debe mazingira
London.Tamasha la muziki kupambana na uharibifu wa mazingira lafana.
COLOGNE: Jamii na mazingira yapaswa kuheshimiwa
Mabadiliko ya hali ya hewa ni changamoto kwa viongozi wa G8
Viongozi wa nchi 8 tajiri kabisa kiviwanda duniani G8 wanaendelea na mazungumzo yao yalioanza rasmi hii leo.
China kutokubali kuridhia kupoteza kasi ya maendeleo kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa.
China imeamua kuingilia kati suala la kuongezeka kwa ujoto duniani leo, na kuzindua juhudi za kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa wakati ikisisitiza kuwa haitaweza kutelekeza matarajio yake ya mipango ya kiuchumi kutokana na madai ya jumuiya ya kimataifa ya kupunguza gesi zinazochafua mazingira.
WISMAR: Vijana wajadili mabadiliko ya hali ya hewa
BERLIN : Merkel hataki muafaka lege lege wa hali ya hewa
BERLIN:Bush aahidi kushirikiana na wenzake katika masuala ya mazingira
Mkakati wa Bush kuhusu mazingira
Rais George W.Bush wa Marekani,amependekeza mkakati mpya wa kushirikiana na mataifa mengine kwa azma ya kuanzisha mfumo mpya kuhusu njia za kupunguza gesi zinazoathiri mazingira.
Hamburg. Mawaziri wasigana juu ya upunguzaji wa gesi zinazoharibu mazingira.
Merkel na Pelosi wakubaliana juu ya hali ya hewa
Ni siku nane tu zinazobaki hadi viongozi wa kundi la nchi nane tajiri duniani, G8, watakapokutana hapa Ujerumani. Suala moja muhimu ni kulinda hali ya hewa. Lakini huenda kansela Angela Merkel wa Ujerumani ambaye atasimamia mkutano huo, atashindwa kufikia malengo yake, akizuiliwa hasa na nchi inayosababisha zaidi uchafuzi wa hali ya hewa, yaani Marekani.
BERLIN: Msimamo wa Marekani kuhusu mazingira wasikitisha
Berlin. Pelosi azunguzia mazingira.
BERLIN : Merkel ataka kupunguzwa gesi zinazoathiri mazingira
Bremen. SPD kuunda serikali na chama cha walinzi wa mazingira Greens.
Mabadiliko ya hali ya hewa yaonekana barani Afrika
Katika ripoti kadhaa zilizotolewa juu ya mabadiliko ya hali ya hewa, imeandikwa kuwa wale watakaoathirika zaidi kutoka na ongezeko la joto duniani ni wale ambao wanachangia kidogo tu katika mabadiliko haya, yaani wakaazi wa nchi maskini, hasa barani Afrika.
Haki ya mazingira kuanzishwa
Mada mpya iitwayo ´haki ya mazingira´ inaukabili mjadala juu ya mabadiliko ya hali ya hewa duniani. Mwandishi wetu Monika Hoegen anaripoti juu ya mjadala wa mazingira unaondelea.
NEW YORK : Makubaliano ya mazingira yamekwenda kombo
BONN: Wataalamu wajadili mabadiliko ya hali ya hewa
BONN.Mabadiliko ya hali ya hewa yajadiliwa Bonn
BANGKOK:Waikubali ripoti ya umoja wa mataifa juu ya hali ya hewa
Changamoto ya mabadiliko ya hali ya hewa inaweza kudhibitiwa.
Wataalamu wa masuala ya mabadiliko ya hali ya hewa na wawakilishi kutoka nchi mia moja na tano wametoa ripoti huko Bangkok,inayotoa mwelekeo wa jinsi ya kuzuia maafa kutokana utoaji wa gesi chafu duniani kwa gharama ya chini.
Wanasayansi walenga mpango mkuu wa mabadiliko ya hali ya hewa
Wataalamu mashuhuri duniani wa mabadiliko ya hali ya hewa wanakutana mjini Bangkok nchini Thailand kujadili mpango mkuu juu ya kupunguza taathira mbaya za ongezeko la kiwango cha ujoto duniani huku kukiwa na kutofautiana sana juu ya namna ya kutekeleza mpango huo.
Umoja wa Ulaya na mazingira
Moshi unaochafua mazingira kutoka nchi zanachama wa Umoja wa Ulaya utaongezeka zaidi kuliko zinavyodai nchi hizo.;Kikundi ,kinachotetea mazingira-Friends of the Earth-kimegundua hayo.
Ujerumani yazindua mkakati mpya wa kulinda hali ya hewa
Ujerumani inataka kuwa kiongozi duniani kote katika matumizi ya nishati. Waziri wa mazingira wa Ujerumani, Sigmar Gabriel, amezindua hii leo mjini Berlin, mpango unaolenga kupunguza kiwango cha gesi za viwandani kwa asilimi 40.
Badiliko la hali ya hewa katika Baraza la Usalama
Kwa mara ya kwanza jana, Baraza la Usalama la UM lilijishughulisha na badiliko la hali ya hewa duniani.Kwani kinyan'ganyiro cha ardhi yenye rutba na maji ni ishara za hatari ya vita siku zijazo .
Baraza la usalama lazungumzia hali ya hewa
Kwa mara ya kwanza katika historia yake, baraza la usalama la Umoja wa Mataifa linazungumzia suala la mabadiliko ya hali ya hewa. Uingereza hasa imejitahidi suala hilo liwekwe kwenye ratiba ya baraza ambalo jukumu lake ni kushughulikia masuala yanayohusiana na usalama wa dunia. Mabadiliko ya hali ya hewa lakini ndiyo hatari kubwa kwa usalama, anasema waziri wa nchi za nje wa Uingereza, Bi Magret Beckett, ambaye ataongoza mjadala huo.
Baraza la usalama kujadili mabadiliko ya hali ya hewa
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa ambalo kazi yake kubwa ni kuzuia vita na kulinda amani ya dunia, kwa mara nyengine tena litavunja utamaduni wake Jumanne wiki ijayo kujadili mabadiliko ya hali ya hewa ambyo imeelezwa kuwa hatari mpya inayoukabili usalama wa kimataifa.
BRUSSELS: Ujerumani yatakiwa kuongeza juhudi kupambana mabadiliko ya hali ya hewa
BRUSSELS: Nchi masikini kuathirika zaidi na mabadiliko ya hali ya hewa
Ripoti ya Umoja wa mataifa kuhusu hali ya hewa inatisha
bahari itaenea,joto kali litavuruga mzunguko wa damu mwilini na ukame-ni miongoni mwa madhara ya kubadilika hali ya hewa.
Onyo kali juu ya mabadiliko ya hali ya anga
Leo hii mjini Brussels, wataalamu wa masuala ya hali ya hewa kutoka nchi 120 wamekubaliana juu ya sehemu ya pili ya ripoti juu ya hali ya hewa ya Umoja wa Mataifa. Mazungumzo yaliendelea hadi wakati wa usiku. Jambo kuu katika ripoti hii ni matokeo kwa wanyama na mimea yanayotokana na mabadiliko ya hali ya hewa.
Waziri wa mazingira wa Ujerumani aridhika na matokeo ya mkutano wa Postdam
POTSDAM: mawaziri wamaliza mkutano juu ya mabadiliko ya hali ya hewa
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 20 wa 22
Ukurasa unaofuatia