You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mazingira
Mazingira yanatuzunguka kila mahala, na wanaadamu wanayategemea kuendesha maisha yao.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mtu na Mazingira : Viongozi watakiwa kuchukua uamuzi haraka kupunguza gesi chafu
Ripoti mpya ya jopo la wataalamu wa mabadiliko ya tabia nchi IPCC inaelezea wasiwasi juu ya ongezeko la majanga katika sehemu mbalimbali duniani yanayotokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi , na kutahadharisha viongozi wa ulimwengu kufanya uamuzi wa haraka wa kupunguza uzalishaji wa gesi chafu. Kupitia DW-Bonn, msimulizi wako ni mimi Saleh Mwanamilongo.
Maoni: Lazima tuchukue hatua sasa kuhusu tabia nchi
Mwandishi wa DW Stuart Brain anasema kesi za kisheria kuhusu tabia nchi huenda zikawa njia pekee ya kufuata
Dunia yashindwa kudhibiti uzalishaji gesi chafu
IPCC imesema matukio ya moto, ukame na mvua kubwa yametokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.
Mtu na Mazingira - Taka za Plastiki kambini Kakuma
Makala ya Mtu na Mazingira inatizama juhudi za kusafisha ardhi iliyojaa taka za plastiki katika kambi ya Kakuma.
Maelfu wazikimbia nyumba zao kuepuka moto wa msituni Ugiriki
Moto wa msituni umeendelea kuleta sokomoko Ugiriki na katika mataifa mengine kadhaa ya kusini mashariki mwa Ulaya
Utunzaji mazingira: Waokotaji taka Dakar
Nchini Senegal maelfu ya waokota taka wanapekuwa jaa kubwa zaidi ulimwenguni wakitafuta taka wanazoweza kuziuza.
Wanasayansi wazungumzia dharura ya kudhibiti tabianchi
Wanasayansi hao wamesema serikali zimeshindwa kutekeleza wajibu wao wa kupambana na sababu za mabadiliko ya tabia nchi.
Maoni:Mashamba madogo ndiyo mustakabali wa mifumo ya chakula
Wakulima wadogo wanaweza kutoa mchango mkubwa katika kujenga mifumo endelevu ya chakula. Lakini uwekezaji ni muhimu.
China yakosoa mpango wa kodi ya kaboni ya Umoja wa Ulaya
China inasema Umoja wa Ulaya unataka kuyageuza masuala ya mazingira kuwa biashara.
Faida za Mikoko katika kuzuia majanga ya asili
Makala ya Mtu na Mazingira inaangazia faida za upandaji wa mikoko kuzuia majanga ya kiasili maeneo ya ukanda wa bahari.
Uhifadhi wa mbega Kenya
Mbega ni wanyama ambao kupatikana kwao ni nadra na pia wako katika hatari ya kuangamia
Watu kadhaa wafa kutokana na joto kali Marekani na Canada
Wimbi hilo la joto limeendelea kuikumba Canada tangu ijumaa iliyopita
Juhudi za vijana wa Kibra kuusafisha Mto Nairobi
Mto wa Nairobi umechafuka. Hata hivyo vijana wa eneo la Kibra ambako mto huo unapitia wameamua kuusafisha ili kuunusuru. Juhudi zao zimetambulika baada ya mmoja wao kwa ushirikiano na wenzake kutunukiwa tuzo ya mwanamuziki bora zaidi. Makala ya mazingira inaangazia juhudi za vijana wa Kibra kuusafisha Mto Nairobi.
KURUNZI AFYA: Ukosefu wa usalama kazini
Afya ya Ali Ramadhani imepuuziwa sana na waajiri wake baada ya kupata ajali akiwa kazini.
Uharibifu wa msitu wa mvua wa Kongo
Kwenye makala ya Mtu na Mazingira tunaangazia uharibifu wa msitu wa mvua wa Kongo na tuhuma dhidi ya makampuni ya kimataifa. Kupitia DW anayekukaribisha ni mimi Saleh Mwanamilongo.
G7: Viongozi kuongeza fedha za kukabiliana na hali ya hewa
Watetezi wa mazingira nchini Uingereza wasema wamechoshwa na ahadi upepo.
Maandamano Berlin dhidi ya magari binafsi mjini na mitaani
Wanaharakati waandamana mjini Berlin kupinga kile wanachosema kuwa uwepo wa magari mengi mitaani na hivyo huchukua nafasi kubwa yanapoegeshwa na kuwanyima watoto maeneo ya kucheza na shughuli nyinginezo za kijamii. Mengi zaidi ni katika video hii ya Kurunzi Ujerumani
Uhuishwaji wa Ikolojia katika mto Rufiji nchini Tanzania
Jitihada za kulinda na kutunza baianowai inayopatikana katika mto Rufiji huku shughuli za kiuchumi zikiendelea kama vile kilimo cha umwagiliaji zinaufanya mto huu kuwa wa kipekee kwa kuwa na miradi mbalimbali ya kutunza mazingira ikiwemo ile ya upandaji miti kando ya mto.
Mtu na Mazingira: Ongezeko la kina cha maji Ziwa Tanganyika
Makala ya Mtu na Mazingira inamulika athari za kuongezeka kwa kina cha maji cha Ziwa Tanganyika huko Tanzania.
Makala zetu 23.05.2021
Sikiliza makala kemkem tulizokuandalia
Yajue mambo ya kushangaza kuhusu miti
Miti ni muhimu kwa maisha – inatunza mfumo wa ikolojia na kusafisha hewa. Lakini unajuwa kuwa inaweza pia ‘kuwasiliana’?
Mkenya akamatwa baada ya kuikosoa Qatar
Qatar yadai uchunguzi unafanyika kubaini tuhuma zinazomuhusisha na ukiukaji sheria za usalama za nchi
Ukuzaji wa miti na mazao mengine kaunti ya Trans-Nzoia
Ungana na Bernard Maranga katika makala ya Mtu na Mazingira kuangazia umuhimu wa ukuzaji miti pamoja na mazao mengine.
Kimbunga "Jobo" kupiga Pwani ya Tanzania na Zanzibar
Dar es Salaam, Tanga na Zanzibar ni miongoni mwa sehemu zinazotarajiwa kupata athari za kimbunga Jobo
Biden aupokea mwito wa mazingira wa Putin
Rais Joe Biden ameitisha mkutano wa kilele wa siku mbili ili kutangaza kwamba Marekani imerejea kwenye mkataba wa Paris.
Marekani kupunguza kwa nusu kiwango cha gesi chafu
Rais wa Marekani Joe Biden ameahidi kupunguza hadi nusu, kiwango cha gesi chafu kinachozalishwa na nchi yake ifikiapo mw
Macho yote kwenye mkutano wa kilele wa mazingira duniani
Rais wa Marekani Joe Biden ataihutubia dunia kuhusu mazingira Alhamis wakati atakapo zindua dhamira ya Marekani katika m
Umoja wa Ulaya wafikia makubaliano muhimu juu ya tabia nchi
Marekani na China zakusudia kutangaza malengo yao mapya juu ya hatua za kupunguza gesi zinazoharibu mazingira.
Juhudi za utunzaji wa bwawa la Kilombero
Juhudi mbalimbali zimekuwa zikifanyika katika kulitunza bwawa la Kilombero huko nchini Tanzania. Kwenye makala hii ya Mtu na mazingira utasikia mengi kuhusu juhudi hizo. Sikiliza hapa.
Hifadhi misitu, hifadhi wanyama pori nchini Uganda
Uhifadhi wa wanyamapori unazidi kuwa changamoto kubwa nchini Uganda hasa pale shughuli za binadamu zinavyozidi kusababisha kutoweka kwa pori na misitu ambayo ni maskani ya aina mbalimbali za wanyama.
Rais Samia: Tuweke mazingira mazuri kwa wawekezaji
Rais Samia ataka watendaji kuhakikisha wanaondoa urasimu katika mchakato wa kutolewa kwa vibali vya kazi kwa wawekezaji
Samani na mapambo kutokana na matairi makuukuu
Kwa kutumia taka mbalimbali ambazo zingedhuru mazingira, Josephine na kundi lake la wanawake bila shaka wanatoa mchango mwingine katika kuboresha mazingira. Kutokana na matairi makuukuu na taka nyinginezo wanatengeneza mapambo, samani na vitu vingine. Lubega Emmanuel anasimulia zaidi kwenye #Kurunzi
Juhudi za kuhifadhi vyanzo vya maji Morogoro
Mkoa wa Morogoro hutegemea mito kama vyanzo vikuu vya maji lakini mara nyingi kumekuwa kukiripotiwa uharibifu wa vyanzo hivyo.
Kampeni ya upandaji miti mkoani Dodoma
Kampeni ya upandaji miti inayolenga kukabiliana na tatizo la uchafuzi wa Mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi katika vijiji kadhaa mkoani Dodoma.
Shaban: Serikali inajitolea kuboresha mazingira ya biashara
Waziri wa biashara na viwanda Zanzibar Omar Said Shaban anasema amechukua mikoba ya wizara hiyo katika wakati ambapo utawala umeonyesha maono makubwa ya biashara. Katika mahojiano na Mohammed Khelef, waziri Shaban anaeleza faraja yake ya kuongoza wizara hiyo na kuahidi kujitolea kwake kuhakikisha ufanisi wa wizara hiyo muhimu.
Dunia inahitaji hatua thabiti za kulinda mazingira
Dunia inahitaji hatua thabiti za kulinda mazingira
Biden ayafuta maagizo ya Trump juu ya mazingira na uhamiaji
Rais Biden ameyasaini maagizo ya kiutendaji yanayopinduwa yaliyokuwa yamewekwa na mtangulizi wake Donald Trump.
Kunusuru mazingira kutumia kipande cha sabuni
Mwekezaji na mwanaharakati wa mazingira kutoka Cape Verde Carlos Silva anataka kusaidia katika utunzaji wa mazingira kwa kutengeneza bidhaa za mapambo zisizokuwa na kemikali wala vihifadhi visivyo vya asilia
12.12.2020 - Matangazo ya Asubuhi
Uingereza imetangaza kusitisha ufadhili kwa sekta ya mafuta ya petroli.
Ulimwengu waadhimisha miaka mitano ya mkataba wa Paris
Viongozi wa dunia wanaadhimisha miaka mitano ya mkataba wa kihistoria wa mabadiliko ya tabianchi wa mjini Paris.
Wauzaji wa miche wanavyochangia kutunza mazingira
Mtu na Mazingira inaangazia mchango wa wauza miche katika suala la kuhifadhi mazingira nchini Kenya.
Guterres aonya kuhusu ongezeko la joto duniani
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameikosoa jamii kwa kushindwa kupambana na ongezeko la joto duniani.
Makala zetu 29.11.2020
Sikiliza baadhi ya makala tuliyokuandalia
Uokozi wa rasilmali ya maji katika ziwa Nakuru
Maziwa na mito mbalimbali inaendelea kuathirika kutokana na uchafuzi na changamoto nyinginezo za kimazingira. Katika makala ya Mtu na Mazingira, Wakio Mbogo anaangazia juhudi za kuokoa pwani ya za maziwa ya Baringo, Bogoria, 94, Nakuru, Elementaita na Naivasha ambazo zinapoteza taswira zao nzuri, kutokana na changamoto ya kimazingira inayotishia makaazi pamoja na mazingira.
Magari yaliotumika yanaathiri mazingira Afrika
Magari yaliotumika yanachafua hali ya hewa katika mataifa yanayoendelea
Ripoti: Vichanga nusu milioni wafa kwa uchafuzi wa hewa 2019
Kiini cha uchafuzi huo kwa kiasi kikubwa kinatokana na moshi wenye sumu wa aina fulani ya mafuta ya kupikia.
Wahudumu wa afya Nakuru walalamikia mazingira duni ya kazi
Wahudumu wanalalamikia wagonjwa wa COVID 19 kuchanganywa na wagonjwa wengine na kutozingatiwa maslahi yao.
Mvua kubwa zatatiza shughuli nyingi jijini Dar es salaam
Watu wakwama barabarani kwa saa saba
Tamasha la teknolojia za kijani mjini Berlin
Makala ya Sura ya Ujerumani safari hii inaangazia tamasha la teknolojia za kijani ambapo bidhaa mbalimbali zinazozingatia utunzaji wa mazingira huonyeshwa mjini Berlin. Harrison Mwilima anakujuza mengi zaidi. Sikiliza
Vijana washiriki maadamano siku ya mazingira duniani
Maandamano hayo ''Ijumaa kwa ajili ya mustakabali'' ni ya kwanza kufanyika tangu ulimengu kukumbwa na COVID-19
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 12 wa 22
Ukurasa unaofuatia