You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mazingira
Mazingira yanatuzunguka kila mahala, na wanaadamu wanayategemea kuendesha maisha yao.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Urusi: NATO yaandaa mazingira ya Vita vya Tatu vya Dunia
Urusi imeutuhumu muungano wa kujihami wa NATO kwa kile inachosema ni kuweka mazingira ya kuanza kwa vita vya nyuklia kwa
24.04.2022 Matangazo ya Asubuhi
Kiwanda cha kurejeleza taka huko Hawassa,Ethiopia
Kutokuwa na utaratibu madhubuti wa kuhifadhi taka katika mji wa Hawassa huko Ethiopia kumetoa fursa kwa vijana ambao, huchukua taka na kuzirejeleza, wanazalisha mbolea, wanauza, wametoa fursa za ajira kubwa zaidi wanaufanya mji wao kuwa wa kijani.
Ukuta kudhibiti kuongezeka kina cha bahari
Ikiwa ni matokeo ya athari za tabianchi kina cha bahari kimekuwa kikiongezeka huko Pemba, katika kukabiliana na changamoto hiyo, mamalaka ya mazingira imejenga ukuta ili kudhibiti kuendelea kuongezeka kwa kina hicho.
Mkaa kutokana na taka Dar es Salaam
Wakati jiji la Dar es salaam likitajwa kuzalisha taka zaidi ya tani 4000 kwa siku, taka hizo zageuka fursa ya kiuchumi kutokana na kutengeneza mkaa, kwenye matokeo ya kutunza mazingira.
Kutana na Regina Magoke mwanaharakati wa mazingira
Regina Magoke, msichana mdogo ambaye anaitumia elimu yake katika kuzifanya harakari za mazingira ili kuwa na mazingira yaliyo salama na yenye afya sababu mazingira yamezibeba fursa, Regina anatamani kumuona msichana akizikamata fursa zilizopo katika mazingira.#msichanajasiri @miss_hadijahalifa
Athari za ukame nchini Morocco
Katika makala ya Mtu na Mazingira, safari hii tunaangalia athari za ukame nchini Morocco na jinsi ukame unavyosababisha pia kuenea kwa majangwa katika sehemu kadhaa za dunia. Mengi zaidi na Zainab Aziz.
Wanaharakati wapinga ripoti ya tume ya serikali ya mto Mara
Wanaharakati wapinga ripoti ya kuchunguza chanzo cha uchafuzi wa maji ya mto Mara unaotajwa kusababisha vifo vya wakazi.
Mtu na Mazingira: UNEA yadhamiria kupunguza athari za kelele
Makala ya Mtu na Mazingira inaangazia juhudi za kupunguza athari za kelele mijini barani Afrika.
UN: Mkataba wa kupambana na uchafuzi wa mazingira waundwa
UN: Mkataba wa kupambana na uchafuzi wa mazingira waundwa
Ujerumani yaipa Rwanda Euro mil. 56 kuboresha mazingira
Makubaliano hayo yamesainiwa wakati wa ziara ya waziri wa ushirikiano wa maendelea Svenja Schulz nchini Rwanda.
UN: Afrika kuathiriwa zaidi na mabadiliko ya tabia nchi
Afrika inachangia kidogo utoaji gesi chafuzi, lakini limeathiriwa pakubwa na athari za mabadiliko ya tabia nchi.
Mkutano wa kimataifa wa mazingira waanza Nairobi
Umeandaliwa rasmi katika makao makuu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Mazingira (UNEP)
Rais Samia: Vyombo vya habari vinapaswa kufuata sheria
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amevitaka vyombo vya habari nchini humo vifuate sheria.
EU kupitisha sheria ya nishati rafiki kwa mazingira
Halmashauri ya Umoja wa Ulaya inaazimia kutangaza nyuklia na gesi kuwa vyanzo vya nishati endelevu
Hasara zaongezeka kutokana na majanga ya mabadiliko ya hewa
Gharama kutokana na majanga yaliyosababishwa na hali mbaya ya hewa mwaka 2021 ilikuwa zaidi ya dola bilioni 170.
Mradi wa kufua umeme wa Rusumo na athari zake kwa mazingira
Makala ya Mtu na Mazingira wiki hii inaangazia athari za mazingira za mradi wa kufua umeme wa Rusumo.
Joto kali kwenye eneo la Arctic laongeza kitisho ulimwenguni
Kwa mara ya kwanza shirika hilo limerekodi kiwango cha juu kabisa cha joto cha nyuzijoto 38 za Celcius nchini Serbia.
DRC kuendeleza juhudi za kuyalinda mazingira
DRC kuendeleza juhudi za kuyalinda mazingira
Utoshelevu wa chakula unatarajiwa kushuka
Utoshelevu wa chakula unatarajiwa kushuka Tanzania
Kenya na njia za asili kukabili mabadiliko ya tabianchi
Makala ya mtu na mazingira yanaangazia jinsi Kenya inavyotumia mbinu asili kupambana na mabadiliko ya tabia nchi.
Maoni: COP26 ni kikombe nusu na sio nusu kikombe
Shinikizo la kutaka hatua kali zaidi zichukuliwe kuzuwia kupanda kwa joto katika sayari ya dunia lilikuwa kubwa.
Johnson: Makubaliano ya COP26 ni ya kihistoria
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameyasifu makubaliano ya mkutano wa mabadiliko ya tabianchi wa mjini Glasgow.
China na Marekani zitashirikiana kupunguza gesi chafu
China na Marekani zimetanga kushirikiana kupunguza uzalishaji wa gesi chafu wakiwa katika mkutano wa COP26.
Rasimu yataka mataifa kupunguza gesi chafu
Rasimu yataka mataifa yaimarishe juhudi za kupunguza gesi chafu
Obama awahimiza vijana kuendeleza mapambano ya mazingira
Obama awahimiza vijana kuendeleza mapambano ya mazingira
Masuala tete hayajateguliwa katika mkutano wa COP26
Mkutano wa COP26 umeingia wiki ya mwisho Jumatatu, lakini nchi bado zinatofautiana kuhusu masuala tete.
Merkel ajadili mabadiliko ya tabianchi, mahojiano na DW
Merkel agusia mabadiliko ya tabianchi, sera ya wakimbizi na janga la virusi vya corona katika mahojiano maalum na DW.
Viongozi COP26 waahidi juhudi mpya kuokoa misitu ya dunia
Mwenyekiti wa mkutano wa kilele, waziri mkuu wa UK Boris Johnson, alisema makubaliano kuhusu uharibuji misitu ni muhimu.
Mabadiliko ya tabianchi Kenya
Kenya iko mstari wa mbele kwenye masuala ya mazingira kwani ndilo taifa la kwanza Afrika kuidhinisha mwaka 2016 sheria ya mabadiliko ya tabia nchi inayoegemea nishati endelevu. Lakini nchi hiyo ni miongoni mwa mataifa yanayoathirika na mabadiliko hayo.
Ulimwengu waelekeza macho yake Glasgow kwenye COP26
Macho yote yanaelekezwa kwao kwa matumaini kuwa watatoka na uamuzi muafaka wa kuinusuru sayari ya dunia.
Mkutano wa mazingira wa UN wafunguliwa rasmi Glasgow
Wanasayansi waonya muda unayoyoma wa kufikia lengo la kupunguza viwango vya joto duniani
COP26: Viongozi wa dunia kujadiliana kudhibiti joto
Mataifa mengi tajiri bado yanasuasua kutekeleza ahadi zao za kuzifadhili nchini masikini kupambana na mabadiliko hayo.
G20: Mkutano wa kilele kujadili mazingira na Covid-19
Mkutano wa kilele wa G20 wafanyika Roma, ukighubikwa na masuala ya mazingira na mgogoro wa Covid-19.
G20: Mkutano wa kilele kujadili mazingira na Covid-19
Mkutano wa kilele wa G20 wafanyika Roma, ukighubikwa na masuala ya mazingira na mgogoro wa Covid-19.
Mabadiliko ya tabianchi yameathiri vipi maisha yako?
Kabla ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (#COP26) tuliwauliza watu kutoka nchi mbalimbali kuhusu uzoefu wao ni nini, na nini wanachotarajia kutoka kwa viongozi wa dunia, watakapokutana kwa mazungumzo muhimu zaidi ya hali ya hewa hapo Novemba.
Matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili: 24.09.2021
Matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili: 24.09.2021
Janga la corona halikupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imeonya kuwa janga la COVID-19 halijapunguza kasi ya mabadiliko ya tabia nchi ulimwenguni. Kwenye makala hii ya Mtu na Mazingira Saleh Mwanamilongo anaangazia kwa nini viongozi duniani bado hawajapunguza kwa kiasi kikubwa uzalishaji wa gesi chafu na kufikia malengo ya mkataba wa Paris wa mwaka 2015?
Tamasha la kuwapa tembo majina katika nchini Kenya
Makala ya mazingira hii leo inajikita kwenye juhudi za kuwahifadhi ndovu mbugani Amboseli na pia kuwapa majina ikiwa ni kwa mara ya kwanza katika historia, Kenya imezindua tamasha la kuwapa tembo majina.
Juhudi za kupambana na mabadiliko ya tabia nchi ziongezwe
Shirika la kimataifa la nishati IEA limetaka mataifai yawajibike zaidi katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi
Wanaharakati: ICC imchunguze Bolsonaro
Wanaharakati wa mazingira wataka mahakama ya ICC imchunguze Rais Bolsonaro kwa uhalifu dhidi ya binadamu na mazingira
China na Marekani zatoa ahadi mpya za kukabili joto duniani.
Ahadi hizo ni habari njema kwa maandalizi ya mkutano wa kilele kuhusu mazingira ya COP 26 utakaofanyika Novemba.
Matokeo ya sensa ya wanyama pori Kenya
Idadi ya tembo nchini Kenya imeongezeka lakini simba wanapungua huku duma wakiwa katika hatari ya kuangamia. Kwenye orodha ya mataifa ya Afrika yaliyo na ndovu wengi zaidi, Kenya ni ya nne baada ya Zimbabwe, Botswana na Tanzania kuipiku. Kwenye makala ya Mtu na Mazingira, Thelma Mwadzaya anaangazia sensa ya kwanza ya kitaifa kuwahi kufanywa ya wanyama nchini Kenya.
Biden ahutubia hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa
Biden ahutubia hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa
Mafuriko yasababisha watu 100,000 kutokuwa na makazi Burundi
Mabadiliko ya tabia nchi yasababisha watu zaidi ya 100,000 kuachwa bila ya makazi
Wawaziri wa mazingira wakikubaliana mpango wa uwekezaji
Mawaziri wa mazingira wakikubaliana kuwa na mpango wa kuongeza uwekezaji na kulipa kipao mbele swala la mazingira.
Ulaya kuongeza chanjo milioni 200 za corona Afrika
Kuna pia msaada kwa mataifa masikini yanayoathiriwa na mabadiliko ya tabianchi.
Mabadiliko ya tabianchi yameleta athari zaidi Ulaya
Moto mkali uliowaka kusini mwa Ulaya toka mwezi uliopita, iwe umesababishwa na radi, au na wachomaji moto, umechochewa na ukame na joto kali. Kwenye makala ya Mtu na Mazingira tunaangazia jinsi bara la Ulaya linavyokabiliana na mabadiliko ya tabianchi ambayo yamesababisha ukame na mafuriko kwa wakati mmoja. Msimulizi ni Saleh Mwanamilongo.
Mafuriko yasababisha vifo New York
Mafuriko ni miongoni mwa matokeo ya mabadiliko ya tabianchi ulimwenguni ambayo yanachochewa na ongezeko la joto.
China: mivutano inaharibu juhudi za mabadiliko ya tabianchi
China imeionya Marekani kwamba mivutano yao ya kisiasa inarudisha nyuma juhudi za kupambana na mabadiliko ya tabianchi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 11 wa 22
Ukurasa unaofuatia