Mawaziri wa Usafiri wa CEEAC wakutana mjini Kinshasa,DRC
16 Septemba 2008Matangazo
Kiini cha mkutano huo ni kutathmini usalama wa anga na vilevile kurahisisha maingiliano ya kimkoa kupitia biashara huru.
Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.