Wanawake wanyarwanda waliowasha umeme wa jua kijijini kwao
8 Julai 2015
Kundi la wanawake wanne nchini Rwanda limewasha umeme utokanao na nishati ya jua kwenye kijiji kizima mashariki ya nchi hiyo. Jiunge na Sylivanus Karemera kusikiliza makala ya 'Wanawake na Maendeleo'.