Matokeo ya kura DRC yaanza kubandikwa
29 Novemba 2011Matangazo
Taarifa zinaeleza kwamba kulikuwa na hali ya wasiwasi wa kuibuka machafuko baada ya zoezi la kupiga kura hapo jana. Matokeo rasmi yanatarajiwa kutangazwa tarehe 6 Desemba.
Ripoti: Saleh Mwanamilongo
Mhariri Othman Miraji