Rais wa Ukraine Volodymr Zelensky alaani vikali mashambulizi kutoka Urusi yaliyolenga bandari ya Odessa, Korea Kaskazini yaishutumu Marekani kwa kutengeneza silaha za kibaiolojia nchini Ukraine na Marekani yasema jeshi la China limeongezeka kuwa kakamavu na hatari zaidi