Maelfu ya watu waandamana nchini Mali kuunga mkono utawala wa kijeshi wa nchi hiyo, Umoja wa Ulaya na China kufanya mkutano mwishoni mwa mwezi Machi na Marekani kuwasilisha suala la mzozo wa Urusi na Ukraine kwa Umoja wa Mataifa iwapo uchochezi utaendelea