Tetemeko kubwa la ardhi lasababisha vifo vya takriban watu 21 katika eneo la Mashariki mwa Uturuki, China yaamuru hatua za kitaifa za kutambua na kuwatenga mara moja watu wanaoshukiwa kuwa na virusi hatari vya Corona na wanawake wawili mmoja mjamzito wauawa na wengine saba kujeruhiwa baada ya vikosi vya kijeshi vya Myanmar kushambulia kijiji kimoja cha watu wa jamii ya Rohingya.