Jeshi la Israel mnamo siku ya Jumapili 23.03.2025 limewaamuru wakazi wa mji wa Rafah ulio kusini mwa Gaza kuondoka kutoka kwenye mji huo. Urusi yalishambulia kwa droni jiji la Kyiv nchini Ukraine. Papa Francis kuonekana hadharani kwa mara ya kwanza Jumapili baada ya kulazwa kwa muda mrefu.