Waziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya Josep Borell, asafiri kuelekea Iran kukutana na viongozi wa nchi hiyo, Ufilipino yaripoti kifo cha kwanza kutokana na virusi vipya vya Corona nje ya China na watu 20 wakanyagwa hadi kufa katika kanisa moja la kievangelisti katika eneo la Kaskazini mwa Tanzania.