Katika matangazo ya Mchana tumekuletea: Ufaransa yawasilisha mswaada katika baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa juu ya kupelekwa waangalizi katika mji wa Aleppo nchini Syria// Zaidi ya wanajeshi 40 wauwawa nchini Yemeni kutokana na shambulio la bomu//Viongozi wa ECOWAS waahidi kuchukua hatua katika mgogoro wa uchaguzi wa Gambia