Wakati mataifa makubwa ulimwenguni yakijiandaa kuiwekea vikwazo zaidi nchi ya Rwanda kwa shutuma za kulisaidia kundi la M23 linalopigana mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rais Paul Kagame wa Rwanda amewatadhaharisha wananchi wake kuwa tayari kukabiliana na hali mbaya kutokana na vikwazo hivyo.