Wapalestina 25 wauawa wakati wa usambazaji wa chakula cha msaada Ukanda wa Gaza. Urusi yasema kuporomoka kwa madaraja yake mawili kulisababishwa na 'vitendo vya kigaidi'. Na watu wawili wauawa Ufaransa na mamia wakamatwa wakati wa sherehe za ushindi wa PSG za Ligi ya Mabingwa Ulaya.