Wachunguzi wa Iran watoa sababu za kuangushwa kwa ndege ya Ukraine, waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas atoa wito kwa Umoja wa Ulaya kuchukuwa msimamo wa pamoja kuhusu sheria tata ya usalama wa kitaifa iliyowekewa Hong Kong na Uingereza leo imeahidi kutoa dola milioni 890 kutayarisha mipaka yake baada ya kujiondoa kikamilifu kutoka Umoja wa Ulaya mnamo Desemba 31.