Shirika la kutetea haki za binadamu, Human Rights Watch limesema mzozo wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaweza kuwa 'janga'. Israel yawazuia maelfu ya Wapalestina kurejea Kaskazini mwa Gaza. Donald Trump azitaka nchi za kiarabu kuwakubali wakimbizi zaidi kutoka Gaza. Wanamgambo wawauwa wanajeshi 20 Nigeria.