Umoja Ulaya wahimiza suluhu ya kidiplomasia kati ya Iran na Israel baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya vinu vya nyuklia vya Iran. Jeshi la Israel limesema limeipata miili ya mateka watatu huko Gaza zaidi ya miezi 20 baada ya kutekwa na wanamgambo wa Hamas.India yawakamata wanaume wawili wanaotuhumiwa kuwasaidia watu waliohusika na mashambulizi ya Aprili 22