Yaliyomo katika dunia yetu leo jioni: Hamas yathibitisha, wanajeshi wa Israel wameondoka Netzarim. Kansela Olaf Scholz na mpinzani wake Friedrich Merz kuchuana leo kwenye mjadala wa televisheni,Ujerumani. Na Rais wa kwanza wa Namibia Sam Nujoma afariki dunia.