Iran yasema katika saa chache zijazo itaanza kuvunja mkataba wa kinuklia.Balozi wa China nchini Uingereza asema China haina nia ya kuingia katika vita vya kidiplomasia na Uingereza. Maafisa wa serikali nchini Afghanistan wasema kundi la wanamgambo la Taliban lalipua bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari .