Urusi na Ukraine zalaumiana kwa kuahirisha zoezi la kubadilishana wafungwa. Kundi la mamluki wa Urusi la Wagner limesema linaondoka Mali baada ya kusaidia kurejesha udhibiti wa serikali kwenye majimbo yote ya nchi hiyo. China yapendekeza kuanzishwa utaratibu maalum wa forodha ili kurahisisha uingizaji wa madini yake adimu katika nchi za Umoja wa Ulaya